Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

pole kikwete kweli leo kazi umeifanya ngumu sana.
 
mhm yaliyozungumzwa ni
1.uhusiano wa tz na us tangu nyerere
2.miradi ya maendeleo tz ikiwemo umeme, miundombinu esp roads huko horohoro, rukwa
3.usalama na amani ukanda wa afrika
4.demokrasia
5. mgogoro wa congo. kuwa tz ndio imepewa jukumu hilo kusimamia upatikanaji wa amani eneo hilo
 
Kikwete yuko concious sana! anajibu maswali briefly and correctly! Obama ameonyesha kuridhishwa kweli!

swali la mwisho halikujibiwa kabisa na Mh Kikwete
 
There are currently 3524 users browsing this thread. (224 members and 3300 guests)
 
JK amejibu vizuri swali la Nbc reporter na sasa press imeisha Obama anapanda mti wa kumbukumbu.

Kajibu vizuri ndio kajibu nini? yani kikwete amejing'atang'ata tuuu halafu wewe unataka kudanganya watu hapa eti kalijibu vizuri? au kwakuwa maimuna hata alichokijibu hukijui?
 
Jk kapewa mafragi ya kutosha na obama ila sijapenda sana maswali yalioulizwa nilitegemea watahoji hali ya kisiasa tanzania hasa matukio yanahusu mikutano ya cdm na tuhuma zinazoelezwa kwa serikali i guess wameyapuuzia haya mambo.
 
Nafikiri mtu anayechagua wauliza maswali wa upande wa foreign reporters sio salva wa ikulu, salva anachagua wa tz(na huyo wa congo), kuna kitu hakiko sawasawa.

kikwete hajajibu kama mzengi bado ni advisor wake, obama hajajibu kama nsa wanaspy eu
Hayo ndio majibu yanayojibiwa kwenye Press conference mkuu.....Hasa kwa maswali yanayohusiana na mambo ya Diplomasia......Ulitegemea Obama atajibu kwamba ni kweli wanaspy EU?.....Nah.....Na sidhani kama ulitegemea Rais Kikwete atajibu kama Mzengi bado ni advisor wake......

Kama umesikiliza vizuri majibu mengi ya Obama hasa ya maswali yaliyohusiana na mapungufu ya US na interest za US hayakuwa yamejitosheleza...Alikuwa anaongea maneno mengi mradi tu aonekane amejibu swali......
 
Mtu anayejiumauma hivi anaweza kunegotiate deal gani la maana na hawa Wamerikani
 
Rais Kikwete anaulizwa na mwandishi wa NBC news kuhusiana na ile kesi ya trafficking ya diplomati ubalozi wa Tanzania Marekani.
Juzi Waziri wetu wa Mambo ya nje aling'aka alipoulizwa swali hili. Leo linaulizwa kwenye forum kubwa ya kidunia. Rais kajibu lakini naona majibu yake yataleta tafrani zaifi. TusubirI mfuatilio wa wana habari.
 
We Provide Aids to Egypt not only looking at how protesters are on the road, but we look how the Government listens to opposition,how the governments maintains free press,no intimidation,freedom of expressions>>>Barack Obama


Kama ni kweli wanaangali hivi vitu soon Tz tutakosa misaada to USA

Mkuu wa majeshi Misri ametoa 48 hours kwa serikali kumaliza mgogoro otherwise watakuja na plan B yao wenyewe.
 
JK amejibu vizuri swali la Nbc reporter na sasa press imeisha Obama anapanda mti wa kumbukumbu.
Hizi pesa zimelipwa na nani na kutoka fungu lipi? Mfalme akiwa uchi umwambie na siyo kumpumbaza eti amependeza. who is Mzengi mpaka kodi zetu zitumike kusolve damage zake?
 
Back
Top Bottom