acha umbea jadili hoja mkuu.
Huyu Obama anaongea sana.
Obama anaulizwa kuhusu kinachoendelea huko Misri.
Amesema kwanza ni kuhakikisha interests za Marekani zinalindwa.
Pili pande zote zishirikiane kutatutua na Marekani itafanya kazi na pande zote husika.
Naona leo Mh. Rais amekuwa na kazi kuliko siku zote alizokaa ikulu.
Asingeweza kubadili majibu kwani alishapangiwa nini cha kusema!.Obama kwenye hotuba akijibu swali ametoa rai tuondokane na fikra za kuomba misaada bali tujadiliane nao kwenye fursa za biashara (business partnership) lakini rais wetu kikwete majibu yake yote yamejikita kwenye wamarekani watusaidie hiki mara kile.....kweli tutaendelea kama baba mwenye nyumba anategemea kuendesha familia yake kwa kuomba misaada kwa jirani?