marehemu mtarajiwa mwache aje kuaga kwa mara ya mwisho
mkuuu nilikuwa karibu na dr na nimempiga sura yake picha ku2mia simu yangu nokia c3 cha kushangazi sijui jinsi ya kuweka humu janvini unaweza nifundisha
Kuna tetesi kwamba huyu kamanda wetu anapigiwa magoti na serikali (Ikulu) kwamba pindi atakapozungumza, asitaje kwamba Ikulu yahusika kutekwa na kupigwa kwake, kwamba amkane Rama. Nadhani kuna namna alivyotayarishiwa kujenga hoja hii.
Inasemekana mpango huu unaratibiwa na Mzee Mengi, kwani kama mnavyofahamu Mengi ametoa mchango mkubwa sana kifedha kwa ajili ya matibabu ya Dr Ulimboka. halafu pia inafahamika jinsi Mengi anavyomuabudu JK.
Kuna mambo mawili hapa: Ulimboka akikubali mpango huo, basi atakuwa amejimaliza, kwani TISS wataogopa kwamba kuna siku anaweza kuropoka na kusema yaliyo ukweli. Hivyo watahakikisha haishi muda mrefu.
Pili, bora aseme lile la ukweli kwamba Ikulu ilihusika kwani atakuwa amejiwekea kinga ya kutomalizwa maisha yake -- TISS wataogopa kwani kidole kita-point kwao kwamba ni wahusika wa kifo chake kwa kuwa atakuwa amewaumbua.
Nakiri tena hizi ni tetesi, lakini ni very plausible scenario.
Karibu Kamanda Ulimboka na Mungu aendelee kuimarisha afya yako. Wameaibika!!! Na ole wao wakuguse tena!!! Medical proffession needs care and attention. Madaktari wameteseka kwa kiasi kikubwa sana, wanasoma theory, practically hospital hazina vifaa hivyo akili zao zinadumaa. Wataalam tunao, nchi za wenzetu hadi Africa ya Kusini mnakokimbilia mambo yakiwa magumu wapo madaktari watanzania kule!!! Again, welcome. Na tutafurahi vyombo vyote vya habari leo vitoe habari za ujio wako. Mrs Ulimboka and the kids, hongereni na Mungu awalinde ili baba yenu awatunze mpate maisha. Why kwa uzembe na udhaifu wa kitaifa mnataka kuwafanya watoto wa wenzenu yatima wakati vituo vya yatima Tanzania idara ya ustawi wa jamii haivipi huduma stahiki? Acheni mbofu mbofu na udhaifu.
mheshimiwa wa intelegensia kova nakusalimu!!!
Aiseeeee baba yangu nimepiga picha nyingi sana naomba mnifundishe jinsi ya kuweka nimepiga na simu then hapo nilipo natumia simu
marehemu mtarajiwa mwache aje kuaga kwa mara ya mwisho