Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,583
Yaani nchi yetu inadharaurika sana, Kibaki ameona hapa kwetu huduma za afya ni sifuri ndio maana amechukuwa Raia wake, siamini kama Mtanzania akipata ajali Kenya serikali hii dhaifu kama itathubutu kumrudisha atibiwe hapa nyumbani.Ukijua sababu ambazo zimepelekea Rais Mwai Kibaki (yule Rais wa Kenya) kuleta ndege ya kijeshi usiku wa manane ili kuwahamisha raia wa Kenya majeruhi wa ajali ya basi kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwenda nchini mwao ndio unaweza kupata jibu kama Dr Ulimboka ni mkomboaji au muuaji. Au nani muuaji kati ya Dr. Ulimboka na Dr. Dr. Dr. Dr. JK.