zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,220
ha ha kashaingia mjini anasema yupo fit kwa lolote!mliman tv wamerusha live.....jamani wenye picha watuwekee
Jaribu ku click desktop then fanya makeke
ha ha kashaingia mjini anasema yupo fit kwa lolote!mliman tv wamerusha live.....jamani wenye picha watuwekee
kazi walishamaliza hakuna kilichobaki ganda tupu hilo. kama waliweza kupunzika naye usiku kuja msituni . wakamngoa meno ,wakamchomoa kucha , wakamla tigo etc . sasa nini kingine hawajamfanyia . mshaulini tu awe anahudhulia kanisani na aache pombe.
Mungu mkubwa. Bible inasema usiogope wauao mwili mwogope anayeweza kuua mwili na roho yako pia naye ni yule mungu wa kweli wa wakristo wote.
Jamani muda wote huo hakuna hata mmoja aliyefanikiwa kupost angalau picha moja!! Jamani tusaidie tulio mbali nasi tuone namna Mungu alivyowaaibisha watesi wa Dr. Ulimboka.
ukitaka kupost pembeni yake kuna button imeandikwa attach basi ukibonyeza hiyo itakupeleka kwenye sehemu itakayo kuwezesha kubrowse picha unayotaka kuattach..
Jamani muda wote huo hakuna hata mmoja aliyefanikiwa kupost angalau picha moja!! Jamani tusaidie tulio mbali nasi tuone namna Mungu alivyowaaibisha watesi wa Dr. Ulimboka.
marehemu mtarajiwa mwache aje kuaga kwa mara ya mwisho
kazi walishamaliza hakuna kilichobaki ganda tupu hilo. kama waliweza kupunzika naye usiku kuja msituni . wakamngoa meno ,wakamchomoa kucha , wakamla tigo etc . sasa nini kingine hawajamfanyia . mshaulini tu awe anahudhulia kanisani na aache pombe.
Kumbe ili swala limeishakuwa la kidini.