ikithibitika kwamba kweli bw.igondu alihusika mkurugenz tiss,wazirmamboyandani,waziriwaafya,wajiuzulu kabla hatujachukia
Picha tafadhali
hapo sasa ndo tutaupata ukweli nani kampiga na kumtesa,aisee hayo majina yakishatajwa hadharani tunaanza kuandamanaaaaaa
wewe humuhitaji huyu muuaji wa mafia? alikoswakoswa pale EGINA usariver Arusha lakini bado anasakwa kwa udi na uvumba he is in for it!!Na kama mnamhitaji ahmed msangi yuko ubalozi wa uswisi anakula bata na vile vile mama yake yuko hoi kwenye hospital ya kariuk pale victoria
Kwa uhakika Mungu ni Mkuu. Karibu Dr Uli. Tafadhali sema kwa ufasaha kile kilichotendeka. Andaa press Release useme yote. Hongera kwa familia yako kwa kurudi salama. Serikali inafahamu utaiumbua, kamwe usikubali mchezo wowote wa kuficha ukweli wako. Karibu nyumbani. You are really Hero and sober!
kwa wale tulioko maeneo ya airport tuwekeeni updates za mapokezi ya dr ulimboka.
kwa wale mlioko ndani kabisa ya vyombo vya usalama pia msisite kutupa updates za hali ya mambo.
UPDATES:dr ulimboka anatarajiwa kutua saa nane mchana huu
kova kova kova !!upoooo??