Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,410
Hahahahahahahahahaaaaaaa! Tulijua tu watafanya hivyo hasa baada ya kamanda wao Mkuu, Freeman Mbowe kukimbilia uhamishoni South Africa. Nasikia ameenda kujiandalia makazi mara baada ya aibu watakayoipata 2015Makamanda wameingia mitini.