Updates: Maandamano ya CHADEMA Arusha, Hai, Mwanga na Same

Updates: Maandamano ya CHADEMA Arusha, Hai, Mwanga na Same

Kama askari wa ghasia huwa najisikia na kukubali hatia ya kulaumiwa kwa mambo mengine juu ya kazi yangu ila kwa ili la kutaka kuvunja amani na utengamano wa kitaifa kwa maslahi ya watu binafsi kuwafanya ndugu zangu waangaike kuwa wakimbizi wa nchi jirani. Huwa nachukizwa.

Hakika sitakubali na sitakuwa na huruma na muandamanaji yeyote wa kariba hii. Nitapiga virungu kwa taaluma yangu bega bega tumbo nliyojifunza CCPbila kuchoka na bila kuwa na huruma kwa mharifu yeyote yule muandamanaji.

Hapa nilipo nina kibuyu cha maji, batton, ballistic helmet, ballistic vest, Anti-riot gun, buti langu nimefunga vizuri, sura ya mbuzi tabasamu la ng'ombe sicheki cheki ovyo ovyo..nimeconcetrates kufikiri mustakabali wa taifa langu, nimevaa body armour,

Sikubaliani na serikali moja kwa moja kwa yote najua ina mapungufu mengi saana kimfumo na kiutendaji ila namna ya CDM wanavyodai haki ndo inanishawishi nisiwe na huruma nitakapokuwa mastari wa mbele.

Mungu ibariki Tanzania,
Mumgu ibariki Afrika.

WAZAZI wako NAO UMEWAGAWIA HIVYO VIFAA VYA KUJILINDA?

TUTAELEWANA TU HUKU KITAA
 
acha uzuzu.Polisi Wa wapi wewe
Polisi hanaga akili ili upige si mpaka kamanda akuamrishe.kiruguuuuu piga.ndo unapiga.
sisi hatuamuriwi kupiga.subirini na ako ka mshahara kenu

Yeye ndo ataamlisha peleka pua yako kichwa maji wewe....lazima ufyotolewe
 
Maandamano ni saa ngapi jamani wakuu???? Mbona kimya ..
 
Makamanda akikisheni mnaaga kwa wazazi wenu na wake zenu mnakwenda vitani kuna uwezekano wengine wasirudi kabisa wengine wakarudi vilema.

Hakuna kulala mpaka kieleweke.

Kwa hesabu yako raia na police ni wapi wengi raia tukiamua kuwasambaratisha hao police wako Tz nzima nusu saa ni kubwa mno hakutakuwa na police hata mmoja Tz achana kabisa na nguvu ya uma dogo hata hivyo raia wa Tz ni wapole sana!! Nchi nyingine rais yupo marekani anaambiwa baki hukohuko nchi imeshakombolewa na wapenda haki!!
 
Bora hata arabs spring movement waandamanaji walikuwa na vyakula na maji ya kutosha ya kuweza kuandamana hata kwa mwezi mzima bila kuchoka wla kuhisi njaa maana wana food, shelter, na pia clothes, ila nyie wahuni, vibaka, wanywa viroba, wavuta unga wa arusha hamna hata mia mnataka muandame ili mkakwapue vitu vya raia wapenda amani...hamwezi andamana hata kwa masaa manne!

Nnavyowatamani mkijichanganya ntawachakaza huko frontline!!
 
Yani tunahangaishwa na watu hawafiki hata 30,mbowe,slaa,lipumba(aah huyu ni bendera fata upepo tu.,mtoe),mengi,mnyika,lema,nasari sumayi,sugu,msigwa,mbatia(ooh huyu ni ...),nani tena,mh yerico,henche...yaani hawafiki hata ishirini,KAMATA WEKA KIZUIZINI KULE KILWA MASOKO.
 
Mbowe tayari ameshakimbilia Afrika ya Kusini. Hao waliobaki nao mmoja mmoja watasepa
 
Bora hata arabs spring movement waandamanaji walikuwa na vyakula na maji ya kutosha ya kuweza kuandamana hata kwa mwezi mzima bila kuchoka wla kuhisi njaa maana wana food, shelter, na pia clothes, ila nyie wahuni, vibaka, wanywa viroba, wavuta unga wa arusha hamna hata mia mnataka muandame ili mkakwapue vitu vya raia wapenda amani...hamwezi andamana hata kwa masaa manne!

Nnavyowatamani mkijichanganya ntawachakaza huko frontline!!
Mkuu, haww jamaa wwnachekesha sana. Nimecheka eti watu wanatoka Moshi vijijini wanaenda kutia fujo Hai. Sijui wakisambaratishwa wataishi vipi maana wengi wamesombwa to na Coaster
 
Sasa ni saa nne na Dakika Saba. Wapi kamanda Henry Kilewo, Mungi, Molemo, Mohamed Mtoi, Lema nk
 
Hayo maandamano tuliambiawa ni saa nne, mpaka sasa saa nne na dk10, mbona kimya makamanda?
New Image.JPG
 
Back
Top Bottom