Updates: Maandamano ya CHADEMA Arusha, Hai, Mwanga na Same

Nimepita sasa hivi Ngarenaro corner ya Nairobi FFU wako na vifaa vya kazi ila naamini matisho hatasaidia
 
Hatimaye Polisi wafanikiwa kuzima jaribio la maandamano na uvunjifu wa Amani. Hongera kwa jeshi letu tukufu.
 
.... Nimeenda Kwa Babu Kibondo, Atageuza Risasi Kuwa Maji
 
Nimepita sasa hivi Ngarenaro corner ya Nairobi FFU wako na vifaa vya kazi ila naamini matisho hatasaidia

Kumbe nchi hii haina ujambazi. Maana kama wale majizi ya kuvamia na kuiba mabenki yangekuwapo leo ndio ingekuwa siku yao maana Polisi wakati wanashughulika na siasa za Chadema wao wanhekuwa wanajichukulia kwa ulaini.
 
Ulinzi wa nchi hii ni wa hali ya juu sana. Hiyo ni sehemu tu ya jeshi la polisi iliyotumika kuwadhibiti wahuni waandamanaji wa CHADEMA
 
Tulijua toka mwanzo kuwa maandamano haya ya chadema hayatafanikiwa kwa vile hayajapata ridhaa ya UKAWA
 
Back
Top Bottom