FORCE NAMBA
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 937
- 328
Hakuna tija yeyote ya maandamano kwenye kikao na JK thi walikuwepo wote?
Walishindwa kumwambia mshua km wanataka kuandamana?
Walishindwa kumwambia mshua km wanataka kuandamana?
Kakimbia na Joyce Mukyaa.Mbowe amekimbia Bakora ...
Hizi ni dalili za kwisha kwa ufalme wa ambowe ndani ya CHADEMA. Kuna pia kadada fulani ambako hakajui mwanaume. Kanajifanyaga kweli kimbelembele. Sijui na kenyewe kamekimbia huko South Africa au kamejificha Kawe Beach
Bila kuwasahau Henry Kilewo, Mohamed Mtori na Molemo
nanyaroEphata yuko wapi?Yaani dunia isimamishwe na wapuuzi wa Arusha? Mlisema saa nne na sasa ni saa sita hakuna dalili. Makamanda gani waoga nyie
Kakimbia na Joyce Mukyaa.
Kakimbia na Joyce Mukyaa.
Hahahahahahahahaaaaaa! Nadhani hapo wimbo wa kitorondo.......... Unapigwa huku ukiendelea kula nyama chomaNiko hapa Mwanga nakula Nyama choma ya Kondoo...
Hakuna hata mwenye Habari na Maandamano ...
Hahahahahahahaaaaaaaaa! Kumbeeeeeeeeeeee!Wameendea kula Honey moon baada ya Kutawaza Mfalme kwa mara nyingine tena...
Bila kuwasahau Henry Kilewo, Mohamed Mtori na Molemo
Wanaogopa pia kelele za wale mambwa ambao wanakula nyama kilo 10 kwa siku
Hahahahahahahahaaaaaa! Nadhani hapo wimbo wa kitorondo.......... Unapigwa huku ukiendelea kula nyama choma
Tupe Mkuu tupe. Wapi makamanda wameenda?
Aka kitimotoWapi Lemma aka
Na wakiingiza pua zao tunawashughulikia kisawa sawaTanzania ni Nchi ya Amani.... Hatuwezi kuvumilia uhuni wa Wachache....
Mkuu, tusaidie kumsaka huko viunga vya Arusha. Usisahau pia kuwasaka kwenye mazizi ya Kitimoto maana last time Lema alikuwa mbunifu wa maficho salama