Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,416
Mkuu, hiyo inahusu nini na mjadala huu? Anzisha uzi wa kwako ukihoji hayoHv mkuu wa kaya hajabeba sembe kweli kwenye ziara yake kulee kwa akina john cena?
Mkuu, hiyo inahusu nini na mjadala huu? Anzisha uzi wa kwako ukihoji hayoHv mkuu wa kaya hajabeba sembe kweli kwenye ziara yake kulee kwa akina john cena?
Lema si wa kumwamini hata kidogoLEMA umeturubuni tukanunua stock ya mikate na maji , kumbe hakuna maandamano!
Wanaogopa pia kelele za wale mambwa ambao wanakula nyama kilo 10 kwa sikuMakamanda wanaogopa Bakora.
Mkuu, umeona eeeeeh! Wapi Henry Kilewo na mkewe Joyce Kiria?
Asubuhi nimeona Vijiaskari njaa vimejazana kila kona na vingine vilikua vimejificha pale Jacaranda halafu viko na gari la maji yanayowasha. Wengine walikua maeneo jirani na Precision Air wamejificha kwenye Noah nyeupe
Tupe Mkuu tupe. Wapi makamanda wameenda?Niko hapa arusha stand ya vifodi PAMA BAR nasubir maandamano ya makamanda sioni dalili yoyote
Mnaoandamana mnaanza saa ngapi?
Watajibeba mwaka huu. Hii inadhihirisha kuwa wananchi wamewachoka kabisaHaaaa Mbowe mwenyewe kasepa yuko bondeni anakula raha.
Kinachoenda kutokea leo arusha dunia nzima itasimama,subirini kidogo tuu
Hizi ni dalili za kwisha kwa ufalme wa ambowe ndani ya CHADEMA. Kuna pia kadada fulani ambako hakajui mwanaume. Kanajifanyaga kweli kimbelembele. Sijui na kenyewe kamekimbia huko South Africa au kamejificha Kawe Beach
Niko hapa arusha stand ya vifodi PAMA BAR nasubir maandamano ya makamanda sioni dalili yoyote
Kweli kapisa Mkuu. Wapuuzi siku zote wanaangukia puaDunia haiwezi kusimamishwa na Upuuzi
Umeona eeeh! Hayo maneno ya Elli ni ya mfa maji
Yaani dunia isimamishwe na wapuuzi wa Arusha? Mlisema saa nne na sasa ni saa sita hakuna dalili. Makamanda gani waoga nyieKinachoenda kutokea leo arusha dunia nzima itasimama,subirini kidogo tuu
Elli
Kama vijiaskari njaa mbona hamjatoa Pua Nje..