bucho
JF-Expert Member
- Jul 13, 2010
- 5,175
- 3,275
Nilisema jana kwamba leo Umma wa Watanzania unakwenda kushuhudia ANGUKO LA MPUMBAVU...
Kwa namna ya pekee nianze kwa kuwapongeza Wananchi wote wa jiji la Arusha na viunga vyake vyote si kwa uelewa wao tu bali kwa namna walivyopuuzia yale waliyotaka kushurutishwa kuyafanya leo. Kwa hili Arusha yetu itaendelea kuwa salama.
Lakini pili nilipongeze sana Jeshi la Polisi hapa Mkoani Arusha chini ya Kamanda Liberatus Sabbas kwa namna walivyojipanga leo kutimiza wajibu wao wa kulinda watu na mali zao. Arusha ilikuwa shwari kila kona na watu walikuwa busy na shughuli zao kwa amani na utulivu wa hali ya juu.
Safari zangu nyingi leo ni hiace mada zinazoendelea kwa kweli zinathibitisha uelewa wa hali ya juu ya wananchi kila mmoja anajiuliza baada ya maandamano nini kifuate...... Wanajiuliza hiyo mikate wangenunuliwa na si wanunue wao, lakini vile vile wangepewa hela za kuacha majumbani kwao kwanza ndo waende kwenye maandamano na vile vile wangepewa kwanza bima ya maisha yao kwanza....
Na hilo ndilo Anguko la Mpumbavu umaarufu wa maandamano hakuna tena timiza wajibu wako kwao watakuona tu....
Mungu aendelee kuwabariki Wakaazi wa Arusha ili kuendelea kuona na kukataa ubatili wa namna hii...