Updates: Hukumu kesi ya Prof Mahalu; ashinda kesi dhidi yake!

Updates: Hukumu kesi ya Prof Mahalu; ashinda kesi dhidi yake!

Mingoi unasahau haki za msingi za Mtu! Marando Ana weledi mkubwa wa sheria, yeye ni ghali kwa hivyo wenye uwezo ndio huenda kwake! Ningependa nilione katika mwono huu, na sio katika kuzipinda taaluma
 
Ufisadi mwingine ulioshindwa kuthibitishwa. Wana JF tusitarajie kuna Mwana CCM atakayehukumiwa kwa kesi kubwa kama hii. Huu ulikuwa mchezo tu wa kiini macho kwa watanzania.
 
By Elungata:
Hii kitu inaweza kuwa ni stagemanaged na watu humu wanashangilia kama mazuzu.
Ndo kusema huyo jamaa alikua msafi sana au.
Eti jk amepimana ubavu na mkapa WAPI? Ingekua ndo masuala ya kupimana angesema mwacheni mkapa apumzike.suala la kiwira angechomoka vipi huyo mr clean.
Yaani humu kuna ushabiki wa ajabu sana na unakuta jitu zima na kitambi chake lenye wajukuu lakini mambo linayoshabikia ni upuuzi hasa.

BY HANS79
Waache watu wafurahi sababu ya udhaifu wa serikali iliyo madarakani, hv unamleta shahidi hata wasifu wa elimu yake anashindwa kuielezea unategemea ni nini? Huyu shahidi nyadhifa alizopitia ni mkuu wa protokal, mwenyekiti wa tume inayoshughulika na ununuzi wa nyumba za ubalozi nje na nyumba zote zipo chini ya usimamizi wake.Hayo shuhuda ni mimi mwenyewe,hebu pitia sehemu ya mahojiano kati ya wakili wa mahalu na shahidi upande wa serikali:-
wakl- ulijuaje thamani ya hizo nyumba?
shahidi- kutokana na uzoefu wake wa kujenga.
wakili-iambie mahakama wasifu wa elimu yako?
shahid-nimesoma la la la mpaka juu .
wakili-akaeleza wasifu elimu yake ili huyu shahidi atoe maelezo kutokana na mfano huo.
shahidi-jibu ni lile.
wakili-akatoa barua alosaini jk akiwa w.mambo ya nje inayosema nyumba ilinunuliwa kwa uhalali na haina matatizo yeyote.je unasemaje?
shahidi-akasema alosaini ni mwongo.
SWALI KWAKO,JE,KWA MAELEZO HAYO UNATEGEMEA HUKUMU GANI?

Mkapa inaonekakana katika hii kesi alikuwa na maslahi makubwa ndio maana alifanya kila njia akaenda kutoa ushahidi mahakamani, kwa yalitokea mahakani leo sishangai usikute hata huyo shahidi katishiwa uhai wae ndio maana anaact kama mwehu.
 
Kamanda Marando anawapeleka puta magamba.......:baby:
 
Mkapa inaonekakana katika hii kesi alikuwa na maslahi makubwa ndio maana alifanya kila njia akaenda kutoa ushahidi mahakamani, kwa yalitokea mahakani leo sishangai usikute hata huyo shahidi katishiwa uhai wae ndio maana anaact kama mwehu.

Ulitaka mtu aonewe na muhusika mkuu asitoe ushahidi ili iweje. Haki hainyang'anywi though inaweza kucheleweshwa. Kuna watu hawana kona ila mstari ulionyooka. That is BWM, hujui?
 
Mingoi unasahau haki za msingi za Mtu! Marando Ana weledi mkubwa wa sheria, yeye ni ghali kwa hivyo wenye uwezo ndio huenda kwake! Ningependa nilione katika mwono huu, na sio katika kuzipinda taaluma

Na taaluma zao ndio zinawanyima haki watanzania na kuwaibia kila kukicha, kwa ninavyomfahamu mimi huyu jamaa ni mbakaji demokrasia aliebobea na mhimili wa mafisadi mahakamani.
 
Ulitaka mtu aonewe na muhusika mkuu asitoe ushahidi ili iweje. Haki hainyang'anywi though inaweza kucheleweshwa. Kuna watu hawana kona ila mstari ulionyooka. That is BWM, hujui?

Sishangai majibu yako kwani kuna waliombeba Jairo, mapokezi ya kishujaa ya Chenge mwisho wa siku mnatoka povu kumlaumu mkuu wa kaya. Vita ya ufisadi na dhuluma itabaki kuwa tamthiliya JMT kwani hatujui tunataka nini.
 
Mapenzi ya siasa na itikadi za vyama zimewafanya baadhi ya wana JF kuwa mabwimbwi, hata wizi ukitokea utasikia wivu,visasi bila hata kutaka kufikiria kiundani zaidi.Inaonekana ufisadi na wizi uko katika familia maalum au watu fulani. Huu ujinga sijui nani kawalambisha?
 
Mkuu,
asante sana kwa kuliona hilo. Nimegundua wengi hapa hawachukii ufisadi ila wanachukia kuona watu fulani wanafanya ufisadi. Ufisadi huohuo ukifanywa na mwingine kwao poa tu, tena wana nguvu za kuutetea!
 
Unafiki ni kitu kibaya sana kwa docs zilizo wekwa hapa JF hata tahira angemwashia huru Prof. Mahalu zile docs zilionyesha alikuwa anaijulisha serikali kila kitu na maamzi yalitolewa na serikali....
 
Hivi jamani kuna FISADI hata mmoja aliyewahi kushindwa kesi na akafungwa ama kunyang'anywa mali alizohujumu?.. nauliza tu maanake sijawahi kusikia maamuzi ya kesi yoyote ya juu mtuhumiwa alishindwa kesi.
 
Ben Nkapa alitoa ushahidi, wala akuna aliye tumbo moto ati kusubiri hukumu.
 
Hivi jamani kuna FISADI hata mmoja aliyewahi kushindwa kesi na akafungwa ama kunyang'anywa mali alizohujumu?.. nauliza tu maanake sijawahi kusikia maamuzi ya kesi yoyote ya juu mtuhumiwa alishindwa kesi.

Maranda na wenzake!
 
Mbona hukumu hii tuliitegemea hata kabla ya kesi kuanza kusikilizwa????????????
 
Prof Mahalu ameandika historia kwenda kutetewa na Rais Mstaafu!!la sivyo angeijua nini maana ya visasi!
 
Kama nadharia ya kisasi ni kweli, basi kisasi huwa hakiishi!
 
Prof. ameachiwa huru baada ya kubainika kuwa hana hatia
source: ITV
 
Back
Top Bottom