That is why i suspect the whole saga is stagemanaged.
By Elungata:
Hii kitu inaweza kuwa ni stagemanaged na watu humu wanashangilia kama mazuzu.
Ndo kusema huyo jamaa alikua msafi sana au.
Eti jk amepimana ubavu na mkapa WAPI? Ingekua ndo masuala ya kupimana angesema mwacheni mkapa apumzike.suala la kiwira angechomoka vipi huyo mr clean.
Yaani humu kuna ushabiki wa ajabu sana na unakuta jitu zima na kitambi chake lenye wajukuu lakini mambo linayoshabikia ni upuuzi hasa.
BY HANS79
Waache watu wafurahi sababu ya udhaifu wa serikali iliyo madarakani, hv unamleta shahidi hata wasifu wa elimu yake anashindwa kuielezea unategemea ni nini? Huyu shahidi nyadhifa alizopitia ni mkuu wa protokal, mwenyekiti wa tume inayoshughulika na ununuzi wa nyumba za ubalozi nje na nyumba zote zipo chini ya usimamizi wake.Hayo shuhuda ni mimi mwenyewe,hebu pitia sehemu ya mahojiano kati ya wakili wa mahalu na shahidi upande wa serikali:-
wakl- ulijuaje thamani ya hizo nyumba?
shahidi- kutokana na uzoefu wake wa kujenga.
wakili-iambie mahakama wasifu wa elimu yako?
shahid-nimesoma la la la mpaka juu .
wakili-akaeleza wasifu elimu yake ili huyu shahidi atoe maelezo kutokana na mfano huo.
shahidi-jibu ni lile.
wakili-akatoa barua alosaini jk akiwa w.mambo ya nje inayosema nyumba ilinunuliwa kwa uhalali na haina matatizo yeyote.je unasemaje?
shahidi-akasema alosaini ni mwongo.
SWALI KWAKO,JE,KWA MAELEZO HAYO UNATEGEMEA HUKUMU GANI?