Updates: Hukumu kesi ya Prof Mahalu; ashinda kesi dhidi yake!

Hivi jamani kuna FISADI hata mmoja aliyewahi kushindwa kesi na akafungwa ama kunyang'anywa mali alizohujumu?.. nauliza tu maanake sijawahi kusikia maamuzi ya kesi yoyote ya juu mtuhumiwa alishindwa kesi.

Mkuu Mkandara, hivi umekaa nje ya bongo hadi kusahau mahakama zetu zinavyofanya kazi? Kushinda kesi inategemea una pesa kiasi gani na kama kama ni kesi inamhusu tajiri, watahongwa kuanzia mwendesha mashtaka, hakimu hadi mashahidi. Hii ndio taswira ya utamaduni wetu kama Taifa, na kwa taarifa yako mtu akipiga dili la mamilioni kazini watu humuona shujaa!

Tatizo ninaloona hapa, JK anataka aonekani haingilii uhuru wa mahakama vinginevyo wahujumu uchumi dawa yao ni kuwaweka KIZUIZINI na mali zao kutaifisha. Hapo hata wapambe wao watawakimbia.

Niliangalia kwenye TV baadhi wanamageuzi wa M4C wakimpongeza Prof. Mahalu kwa vile tu ameshinda kesi dhidi ya serikali wanayoipinga, sijui kama inamaanisha huyu bwana ndio amekuwa msafi?
 
Cha kushangaza na cha kusikitisha zaidi wale waandishi mahili na wapambanaji humu JF katika maswala ya ufisadi wote wapo upande wa Mahalu na wakitoa pongezi.
 
Mkuu Mkandara, hivi umekaa nje ya bongo hadi kusahau mahakama zetu zinavyofanya kazi? Kushinda kesi inategemea una pesa kiasi gani na kama kama ni kesi inamhusu tajiri, watahongwa kuanzia mwendesha mashtaka, hakimu hadi mashahidi. Hii ndio taswira ya utamaduni wetu kama Taifa, na kwa taarifa yako mtu akipiga dili la mamilioni kazini watu humuona shujaa!

Tatizo ninaloona hapa, JK anataka aonekani haingilii uhuru wa mahakama vinginevyo wahujumu uchumi dawa yao ni kuwaweka KIZUIZINI na mali zao kutaifisha. Hapo hata wapambe wao watawakimbia.

Niliangalia kwenye TV baadhi wanamageuzi wa M4C wakimpongeza Prof. Mahalu kwa vile tu ameshinda kesi dhidi ya serikali wanayoipinga, sijui kama inamaanisha huyu bwana ndio amekuwa msafi?
Dah, mbona huwa nakuja kila mwaka mara mbili kama dose ya Panadol, mwaka huu ngawila zimegomba..

najua sana mahakama zetu, ndio hasa maana ya hoja yangu mkuu wangu. Kushinda kwa Mahalu ilitegemewa na wengi kwa sababu hakuna fisadi hata mmoja aliyewahi kushindwa kesi. Huwa wanacheza karata aidha wanamtafuta Bangusilo wanambambikia kesi wakijua atashinda maana sii mhusika na kumwacha mhusika, Au mhusika mwenyewe hutumia nguvu ya fedha umaarufu na vi memo kushinda kesi..
 
Wana JF

Leo mahakama ya hakimu mkazi Kisutu inatarajia kutoa hukumu katika kesi ya matumizi mabaya ya ofisi inayomkabili Prof Costa Mahalu aliyekuwa balozi wa Tz nchini Italy na mwenzake.

Mtakumbuka kesi hii ilimfikisha mahakamani Rais Mstaafu Mkapa aliyemtetea Mahalu kwa nguvu zote. Rais Kikwete alitakiwa kupanda kizimbani pia kutoa utetezi wake lakini alikwama kwa mujibu wa katiba yetu.

Hukumu ndio leo. Nikiweza nitakuwapo kutoa updates kama bepari wangu hataleta kauzibe. Vinginevyo wale watakaoweza kuwepo, ruksa kupashana kinachojiri
DUUU! huyu JAMAA TALL ILE MBAYA
 
Chadema wala rushwa kutoka kwa PROF. Mahalu,fisadi hilo liloponyoka katika mkono wa mahakama liliipa chadema rushwa ili kuwaziba midomo,tumeona wazi kuwa MAHALU alihujumu pesa za nchi,Leo hii wanachadema wanaungana na MAHALU kusherehekea ushindi na kumshumtumu J.K ni chuki zake kupeleka kesi ya MAHALU mahakamani,Kama kawaida ya CHADEMA wamejitaidi kukosea kesi nyingi zinazotolewa uamuzi na mahakama kama ile ya ZOMBE,LIYUMBA n.k je kwanini ya MAHALU wamefunga domo?anayemtetea fisadi ni fisadi tu
 
Prof.Unaemsema siye huyo kunywa chupa nyingine Hansen nitalipa!!
 
Back
Top Bottom