Updates: Hukumu kesi ya Prof Mahalu; ashinda kesi dhidi yake!

Updates: Hukumu kesi ya Prof Mahalu; ashinda kesi dhidi yake!

The man was set to be imprisoned then he has escaped the pal.. God is Great. Welcome back to The Hill (Mwalimu Nyerere) to help the young generation Prof.
 
Kwa nini lema alimpongeza fisadi mahalu?au kwa kuwa mahalu ni mtoto wa parokiani?ingekua rostam kashinda kesi angempongeza?
 
Prof Mahalu alishavua magamba na alivaa gwanda siku mingi na ndio maana sharobaro wa magogoni akashikwa na hasira akaamua kumbmbikia kesi akijua itakua kama ya akina babu Seah matokeo yake yakawa holaaaaaaaaah!
Kwa nini lema alimpongeza fisadi mahalu?au kwa kuwa mahalu ni mtoto wa parokiani?ingekua rostam kashinda kesi angempongeza?
 
SAM_4421.JPG

angalia habari zaidi za magazeti leo
 
kwa hiyo kesi ilikua ya Mahalu mkapa vs kikwete au Mahalu makapa vs jamhuri?
 
serikali goigoi kila siku kubwagwa mahakamani huyu AG Werema ajiuzulu tu hana msaada kwa serikali wala taifa!
 
Wana JF

Leo mahakama ya hakimu mkazi Kisutu inatarajia kutoa hukumu katika kesi ya matumizi mabaya ya ofisi inayomkabili Prof Costa Mahalu aliyekuwa balozi wa Tz nchini Italy na mwenzake.

Mtakumbuka kesi hii ilimfikisha mahakamani Rais Mstaafu Mkapa aliyemtetea Mahalu kwa nguvu zote. Rais Kikwete alitakiwa kupanda kizimbani pia kutoa utetezi wake lakini alikwama kwa mujibu wa katiba yetu.

Hukumu ndio leo. Nikiweza nitakuwapo kutoa updates kama bepari wangu hataleta kauzibe. Vinginevyo wale watakaoweza kuwepo, ruksa kupashana kinachojiri

Dalili zote na precedent iliyokuwa set na hii kesi, hata ile ya Yona na Mramba Mkapa atafika mahakamani na kufanya wawe acquitted kwani kuwa convict wale jamaa ni kum-convict Mkapa!!!!!!!!!!!!!
 
Tatizo hapa ni informer wa Takukuru hakuma na data za kutosha akaingiza kisasi kwenye kesi hii na kutuingizia gharama walipa kodi
 
Watanzania tuache unafiki wachawi ni sisi wenyewe tunachagua watu wakuwashambulia kwenye swala la ufisadi, kwa mtindo huu Watanzania tutaishia kupiga makelele tu tunashindwa kuwa kitu kimoja kwenye kupambana na ufisadi bahati mbaya wale wote ambao tunawasoma humu JF wapambanaji katika swala la rushwa kama Rada, Ndege ya rais, wote leo wapo upande wa serikali kwenye kesi ya Prof Mahalu tena wanaenda mbali zaidi wanaipongeza mahakama kwa kutenda haki, magazeti nayo ambayo tunayakubali kwa kupambana na ufisadi yote yapo upande wa Prof Mahalu, Tanzania Daima limeandika Prof Mahalu, Mkapa wambwaga JK. mnachagua kesi za kuzishambulia tuache unafiki Watanzania fisadi kwetu ni Losstam tu...kwa style hii msahau kuing'oa CCM madaraka pesa za walipa kodi zinaliwa hovyo sisi tunaleta unafiki.
 
Namshauri mahalu aipeleke serikali mahakamani kudai fidia na gharama za hizi kesi
 
Dalili zote na precedent iliyokuwa set na hii kesi, hata ile ya Yona na Mramba Mkapa atafika mahakamani na kufanya wawe acquitted kwani kuwa convict wale jamaa ni kum-convict Mkapa!!!!!!!!!!!!!

Basi tuacheni kulalamika humu JF kama mambo yenyewe ndiyo hayo wako wapi wabunge wa upinzani kwenye hii kesi wao wanapambana Rada tu.
 
Mnajua kuna rufaa acheni ushambenga na kujishembedua
 
Akina Mramba, Yona,..., nao wanashinda lini? Mahakama na jela za TANZANIA hazipo kwa ajili ya watu wa ngazi na hadhi hii.
 
Wasiwasi wangu ni kwamba huyu Mungu yupo kweli? Hata wezi wanasema amewasaidia!
 
Alizochukua kule Italy ni nyingi sana. Sio kila anayeshinda kesi hana hatia. Ningekuwa mimi ni Hosea ningeachia ngazi.

What happened to innocent until found guilty? Mbona serikali inachagua wa kuwapeleka mahakamani? Kuna vigogo wangapi kama akina chenge ambao ni wezi lakini ndio kwanza kapewa na uwenyekiti bungeni. Awe kaiba or not i support him coz kuna wezi wengi wako mtaani wanaendelea kula mpaka leo. Niambieni kati ya mahalu na ngeleja yupi anatakiwa afungwe zaidi?
 
Katika mambo ambayo nchi hii hatuna wataalam ni kwenye kukusanya ushahidi sahihi na kuutumia hasa kwa kesi za vigogo kama hawa. Chenge kakutwa na dola milioni moja kule Jersey. Tumeshindwa kumsimamisha yeye mwenyewe mahakamani atueleze namna alivyozitengeneza huku akiwa mtumishi wa UMMA hadi leo! Ngeleja hata ile kutuhumiwa hakupo. Ni kati ya mawaziri SAFI kabisa TANZANIA imepata kuwa nao!
 
Wana JF

Leo mahakama ya hakimu mkazi Kisutu inatarajia kutoa hukumu katika kesi ya matumizi mabaya ya ofisi inayomkabili Prof Costa Mahalu aliyekuwa balozi wa Tz nchini Italy na mwenzake.

Mtakumbuka kesi hii ilimfikisha mahakamani Rais Mstaafu Mkapa aliyemtetea Mahalu kwa nguvu zote. Rais Kikwete alitakiwa kupanda kizimbani pia kutoa utetezi wake lakini alikwama kwa mujibu wa katiba yetu.

Hukumu ndio leo. Nikiweza nitakuwapo kutoa updates kama bepari wangu hataleta kauzibe. Vinginevyo wale watakaoweza kuwepo, ruksa kupashana kinachojiri
[h=3]Psalm 17[/h][h=4]A prayer of David.[/h][SUP]1 [/SUP]Hear me, Lord, my plea is just;
listen to my cry.
Hear my prayer—
it does not rise from deceitful lips.
[SUP]2 [/SUP]Let my vindication come from you;
may your eyes see what is right.

[SUP]3 [/SUP]Though you probe my heart,
though you examine me at night and test me,
you will find that I have planned no evil;
my mouth has not transgressed.
[SUP]4 [/SUP]Though people tried to bribe me,
I have kept myself from the ways of the violent
through what your lips have commanded.
[SUP]5 [/SUP]My steps have held to your paths;
my feet have not stumbled.

[SUP]6 [/SUP]I call on you, my God, for you will answer me;
turn your ear to me and hear my prayer.
[SUP]7 [/SUP]Show me the wonders of your great love,
you who save by your right hand
those who take refuge in you from their foes.
[SUP]8 [/SUP]Keep me as the apple of your eye;
hide me in the shadow of your wings
[SUP]9 [/SUP]from the wicked who are out to destroy me,
from my mortal enemies who surround me.

[SUP]10 [/SUP]They close up their callous hearts,
and their mouths speak with arrogance.
[SUP]11 [/SUP]They have tracked me down, they now surround me,
with eyes alert, to throw me to the ground.
[SUP]12 [/SUP]They are like a lion hungry for prey,
like a fierce lion crouching in cover.

[SUP]13 [/SUP]Rise up, Lord, confront them, bring them down;
with your sword rescue me from the wicked.
[SUP]14 [/SUP]By your hand save me from such people, Lord,
from those of this world whose reward is in this life.
May what you have stored up for the wicked fill their bellies;
may their children gorge themselves on it,
and may there be leftovers for their little ones.

[SUP]15 [/SUP]As for me, I will be vindicated and will see your face;
when I awake, I will be satisfied with seeing your likeness.

Cross references:
  1. Psalm 17:1 : Ps 30:10; 64:1; 80:1; 140:6
  2. Psalm 17:1 : Ps 5:2; 39:12; 142:6; 143:1
  3. Psalm 17:1 : S Ps 5:1
  4. Psalm 17:1 : Isa 29:13
  5. Psalm 17:2 : Ps 24:5; 26:1; Isa 46:13; 50:8-9; 54:17
  6. Psalm 17:2 : Ps 99:4
  7. Psalm 17:3 : Ps 139:1; Jer 12:3
  8. Psalm 17:3 : S Job 7:18
  9. Psalm 17:3 : Job 23:10; Jer 50:20
  10. Psalm 17:3 : Ps 39:1
  11. Psalm 17:5 : Job 23:11; Ps 44:18; 119:133
  12. Psalm 17:5 : Dt 32:35; Ps 73:2; 121:3
  13. Psalm 17:6 : Ps 86:7
  14. Psalm 17:6 : Ps 116:2
  15. Psalm 17:6 : S Ps 4:1
  16. Psalm 17:7 : Ps 31:21; 69:13; 106:45; 107:43; 117:2
  17. Psalm 17:7 : S Ps 10:12
  18. Psalm 17:7 : Ps 2:12
  19. Psalm 17:8 : S Nu 6:24
  20. Psalm 17:8 : S Dt 32:10; Pr 7:2
  21. Psalm 17:8 : Ps 27:5; 31:20; 32:7
  22. Psalm 17:8 : Ru 2:12; Ps 36:7; 63:7; Isa 34:15
  23. Psalm 17:9 : Ps 109:3
  24. Psalm 17:10 : Ps 73:7; 119:70; Isa 6:10
  25. Psalm 17:10 : S 1Sa 2:3
  26. Psalm 17:11 : Ps 88:17
  27. Psalm 17:12 : Ps 7:2; Jer 5:6; 12:8; La 3:10
  28. Psalm 17:12 : S Ge 49:9
  29. Psalm 17:13 : S Nu 10:35
  30. Psalm 17:13 : Ps 35:8; 55:23; 73:18
  31. Psalm 17:14 : Lk 16:8
  32. Psalm 17:14 : Ps 49:17; Lk 16:25
  33. Psalm 17:14 : Isa 2:7; 57:17
  34. Psalm 17:15 : S Ps 3:5
  35. Psalm 17:15 : S Nu 12:8; S Mt 5:8; 1Jn 3:2

Back
Top Bottom