Updates: Hukumu kesi ya Prof Mahalu; ashinda kesi dhidi yake!

Updates: Hukumu kesi ya Prof Mahalu; ashinda kesi dhidi yake!

soma ZABURI 17:[h=3]Psalm 17[/h][h=4]A prayer of David.[/h][SUP]1 [/SUP]Hear me, Lord, my plea is just;
listen to my cry.
Hear my prayer—
it does not rise from deceitful lips.
[SUP]2 [/SUP]Let my vindication come from you;
may your eyes see what is right.

[SUP]3 [/SUP]Though you probe my heart,
though you examine me at night and test me,
you will find that I have planned no evil;
my mouth has not transgressed.
[SUP]4 [/SUP]Though people tried to bribe me,
I have kept myself from the ways of the violent
through what your lips have commanded.
[SUP]5 [/SUP]My steps have held to your paths;
my feet have not stumbled.

[SUP]6 [/SUP]I call on you, my God, for you will answer me;
turn your ear to me and hear my prayer.
[SUP]7 [/SUP]Show me the wonders of your great love,
you who save by your right hand
those who take refuge in you from their foes.
[SUP]8 [/SUP]Keep me as the apple of your eye;
hide me in the shadow of your wings
[SUP]9 [/SUP]from the wicked who are out to destroy me,
from my mortal enemies who surround me.

[SUP]10 [/SUP]They close up their callous hearts,
and their mouths speak with arrogance.
[SUP]11 [/SUP]They have tracked me down, they now surround me,
with eyes alert, to throw me to the ground.
[SUP]12 [/SUP]They are like a lion hungry for prey,
like a fierce lion crouching in cover.

[SUP]13 [/SUP]Rise up, Lord, confront them, bring them down;
with your sword rescue me from the wicked.
[SUP]14 [/SUP]By your hand save me from such people, Lord,
from those of this world whose reward is in this life.
May what you have stored up for the wicked fill their bellies;
may their children gorge themselves on it,
and may there be leftovers for their little ones.

[SUP]15 [/SUP]As for me, I will be vindicated and will see your face;
when I awake, I will be satisfied with seeing your likeness.

Cross references:
  1. Psalm 17:1 : Ps 30:10; 64:1; 80:1; 140:6
  2. Psalm 17:1 : Ps 5:2; 39:12; 142:6; 143:1
  3. Psalm 17:1 : S Ps 5:1
  4. Psalm 17:1 : Isa 29:13
  5. Psalm 17:2 : Ps 24:5; 26:1; Isa 46:13; 50:8-9; 54:17
  6. Psalm 17:2 : Ps 99:4
  7. Psalm 17:3 : Ps 139:1; Jer 12:3
  8. Psalm 17:3 : S Job 7:18
  9. Psalm 17:3 : Job 23:10; Jer 50:20
  10. Psalm 17:3 : Ps 39:1
  11. Psalm 17:5 : Job 23:11; Ps 44:18; 119:133
  12. Psalm 17:5 : Dt 32:35; Ps 73:2; 121:3
  13. Psalm 17:6 : Ps 86:7
  14. Psalm 17:6 : Ps 116:2
  15. Psalm 17:6 : S Ps 4:1
  16. Psalm 17:7 : Ps 31:21; 69:13; 106:45; 107:43; 117:2
  17. Psalm 17:7 : S Ps 10:12
  18. Psalm 17:7 : Ps 2:12
  19. Psalm 17:8 : S Nu 6:24
  20. Psalm 17:8 : S Dt 32:10; Pr 7:2
  21. Psalm 17:8 : Ps 27:5; 31:20; 32:7
  22. Psalm 17:8 : Ru 2:12; Ps 36:7; 63:7; Isa 34:15
  23. Psalm 17:9 : Ps 109:3
  24. Psalm 17:10 : Ps 73:7; 119:70; Isa 6:10
  25. Psalm 17:10 : S 1Sa 2:3
  26. Psalm 17:11 : Ps 88:17
  27. Psalm 17:12 : Ps 7:2; Jer 5:6; 12:8; La 3:10
  28. Psalm 17:12 : S Ge 49:9
  29. Psalm 17:13 : S Nu 10:35
  30. Psalm 17:13 : Ps 35:8; 55:23; 73:18
  31. Psalm 17:14 : Lk 16:8
  32. Psalm 17:14 : Ps 49:17; Lk 16:25
  33. Psalm 17:14 : Isa 2:7; 57:17
  34. Psalm 17:15 : S Ps 3:5
  35. Psalm 17:15 : S Nu 12:8; S Mt 5:8; 1Jn 3:2



 
hii mbona ni siasa tuu!! hamna jipya hapo...magumashi tu na kuchezeana kiin macho!!!
 
Tanzania ni zaidi ya huijuavyo mtu ametafuna Euro 2 milioni halafu anasema Mungu amejibu.
 
Unataka kutuambia hawa wote rais amewaonea?

Liyumba visasi, Yona visasi, Ballali visasi, Jeetu Patel visasi, Mramba visasi, Maranda visasi, Farijala visasi, Mgonja visasi?

Kwanini mnaona kama mtu kufikishwa mahakamani ni kitu kibaya? mimi nilitegemea hao wahusika washukuru kwamba wamefikishwa mahakamani ili wapate nafasi ya kujisafisha.

Maundumula!!!??? your opinion reflects your ID.
 
Tanzania ni zaidi ya huijuavyo mtu ametafuna Euro 2 milioni halafu anasema Mungu amejibu.
Jamaa wamebinafsisha hata huyo Mungu mwenyewe! Nilisikia Lowasa alikwenda kuhiji Israel baada ya lile sakata la Richmond baadae akamtembelea na Nabii TB Joshua.
 
Jana nilimsikia Mahalu na Grace wakimtaja Mungu mara kadhaa! Hivi kweli TAKUKURU waliwasingizia?

Hii kesi ya kipuuzi sana ripoti ya CAG inaeleza wazi ufisadi wa jengo hilo, ukiangalia utetezi wa Grace Martin, kuwa balozi Mahalu hakusababishia serikali hasara ya Euro 2 milioni, bali alileta faida kwa taifa jengo ni zuri na anaihitaji kupewa shukrani.

Mkuu siku hizi Mungu kutajwa ni kawaida tu wizi wote siku hizi wapo karibu na Mungu.

Huyu ingekuwa China hata wataje mwiungu mia kunyongwa lazima.
 
Katika mambo ambayo nchi hii hatuna wataalam ni kwenye kukusanya ushahidi sahihi na kuutumia hasa kwa kesi za vigogo kama hawa. Chenge kakutwa na dola milioni moja kule Jersey. Tumeshindwa kumsimamisha yeye mwenyewe mahakamani atueleze namna alivyozitengeneza huku akiwa mtumishi wa UMMA hadi leo! Ngeleja hata ile kutuhumiwa hakupo. Ni kati ya mawaziri SAFI kabisa TANZANIA imepata kuwa nao!

Watalaam wa kukusanya ushahidi wapo sana sema kwa sababu ya rushwa/hongo unasikia evidence iliyokua mahakamani au polisi imepotea. Au kama kuna watu wa kutoa ushahidi unasikia wamepotea hawajulikani walipo au wengine wanakufa. The justice system in tz is corrupt full stop.
 
Hivi jamani kuna FISADI hata mmoja aliyewahi kushindwa kesi na akafungwa ama kunyang'anywa mali alizohujumu?.. nauliza tu maanake sijawahi kusikia maamuzi ya kesi yoyote ya juu mtuhumiwa alishindwa kesi.

Mkuu,

Jibu ni hamna. Maranda na mwenzake huwezi kuwaita mafisadi, watu wametoka zao Kigoma huko....
Nani aliekua anamjua Maranda kabla ya kesi?

Hivi Kesi ya Johnson wa Proin iliishiaje? Ukiwa wa hapa hapa town sidhani kama unaweza kuiba over a billion Tzs kisha ufungwe.

Sio Tanzania.
 
Kihoja kingine ni utetezi wa Mkapa, katika ushahidi wake anasema mchakato wa ununuzi wa jengo hilo ulifuata sheria na taratibu zote na yeye aliyebariki, pia alimwagia Mahalu sifa nyingi akidai kuwa ni kiongozi mwadilifu na mwaminifu katika historia yake ya utumishi wa umma..
 
Mkuu,

Jibu ni hamna. Maranda na mwenzake huwezi kuwaita mafisadi, watu wametoka zao Kigoma huko....
Nani aliekua anamjua Maranda kabla ya kesi?

Hivi Kesi ya Johnson wa Proin iliishiaje? Ukiwa wa hapa hapa town sidhani kama unaweza kuiba over a billion Tzs kisha ufungwe.

Sio Tanzania.
Pengine hata hao wanaoitwa au tunaodhani ni mafisadi hawapo. FairPlayer mwenyewe ukimwambia Lowasa ni fisadi atakukatalia katakata.
 
Huyu Mahalu anaonesha ana mihela mingi kweli kweli maana hao wanasheria alio wasimamisha tu hapo ni full mapesa kumtoka. Nina doubt kama ni public servant ambaye alikuwa ana kipato cha kawaida...
 
I think its about time Kikwete amkabidhi Mkapa kwa Takukuru nae akajibu tuhuma zake binafsi za Kiwira na za mkewe kuhusu SIMU 2000 na CHC, kwakuwa I believe huyu Mkapa hata Ballali angekuwa hai yeye Mkapa angeenda kumtetea mahakamani kwakuwa yeye ndio alimuweka BOT.
 
Wana JF

Leo mahakama ya hakimu mkazi Kisutu inatarajia kutoa hukumu katika kesi ya matumizi mabaya ya ofisi inayomkabili Prof Costa Mahalu aliyekuwa balozi wa Tz nchini Italy na mwenzake.

Mtakumbuka kesi hii ilimfikisha mahakamani Rais Mstaafu Mkapa aliyemtetea Mahalu kwa nguvu zote. Rais Kikwete alitakiwa kupanda kizimbani pia kutoa utetezi wake lakini alikwama kwa mujibu wa katiba yetu.

Hukumu ndio leo. Nikiweza nitakuwapo kutoa updates kama bepari wangu hataleta kauzibe. Vinginevyo wale watakaoweza kuwepo, ruksa kupashana kinachojiri

Alex Mgongolwa na marando, nyie mnajua kuwuwa qu nyingi toka Kisutu and the like huwa zinakuwa quashed zikienda HC/CAT. Mnajua mnachokifanyaga! Mnacheke lakini kama ingelikuwa serikali serious msingelicheke maana mnajua fika kuwa the sale would turn in a different direction in the HC and CAT
 
Yaani lijamaa limekwiba kisha limeshinda! kweli mwenye 'noti' sio mwenzio
 
Katika mambo ambayo nchi hii hatuna wataalam ni kwenye kukusanya ushahidi sahihi na kuutumia hasa kwa kesi za vigogo kama hawa. Chenge kakutwa na dola milioni moja kule Jersey. Tumeshindwa kumsimamisha yeye mwenyewe mahakamani atueleze namna alivyozitengeneza huku akiwa mtumishi wa UMMA hadi leo! Ngeleja hata ile kutuhumiwa hakupo. Ni kati ya mawaziri SAFI kabisa TANZANIA imepata kuwa nao!

Nchi tunahitaji mtu kama Paul Kagame, mafisadi kama hawa hakuna kupoteza muda wa mahakama ni kupeleka Segerea moja kwa moja. Kama nyumba ilinunuliwa kwa Euro 2m na wewe umechukua Euro 4m? Kama wewe ni mtumishi wa umma kisha unakutwa na $1m benki, ulizipataje? kama ni zako halali kodi ulilipa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom