Update za kazi za TASAF

Ukiwa na connection kabla hata ya deadline ya kuisha upo kazini, interview za saiv ni kukamilisha utaratibu lakin watu washapewa kazi muda tuu.

Saivi connection ndo kila kitu
Daah! Hii imeniuma kwel kwel, yaan Ni Kama zile za NMB tuu yan mtu unaapply na kuapply untill "application for a job" becomes your actual job.

Mi nafikir ingekuwa vizur wangekuwa wanafanya kama mashirika ya UN na mengine ya aina hiyo. Unaapply, wasilokuchukua wanakutumia email tuu.....utasomaaa...then utakutana na neno..."we regret" baaaaasi. Unajua tu tayar mzungu keshaniosha. Imeisha hiyooo.

Sasa hawa wandugu wa Tasaf wanapiga kimya kimya. Inauma sana
 
Wametoa majina ya wanaotakiwa kufanya interview so pitia kwa web ujiangalie kama umo

Back
Top Bottom