G. Activist
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 482
- 125
hali yake ni mbaya sana ...tia maji tia maji
Jason Bourne alisema ndani ya masaa 48 atatupa habari ya kilichojiri mara baada kuugua kwa Mwakyembe.Alidai atakuja na kile alichokiita "Taarifa za uchunguzi".Sasa simwoni tena na pia nadhani masaa hayo yameshapita sasa.