mkuu kama vile ulikuwepo kichwani mwangu. siku hizi huwa sinunui magazeti kwani mengi yanachukua michango yetu humu kuandika habari zao. Nilijiona mjinga kwa kununua habari niliyoiasisi mimi mwenyewe. From that time nikasema no please. mfano habari ya mwanahalisi ya dc wa igunga kuwa uislam wake unamashaka niliipata humu jf lakini siku 3 baadaye ndo mwanahalisi linajifanya kuchambua. Magazeti yetu siku hizi are non sense. na kama watu wengi hasa wamjini ambao ndo wana nunua watakua na access na internet basi magazeti yote yatakufa isipokuwa la uhuru na habari leo ambayo yanaendeshwa kwa kodi zetu.Nakushauri tika kwa waziri mwenzake au nyumbani kwake maana habari kwa sasa ni za familia na serikali .Magazeti kama ujuavyo yanangoja JF tuibue kwanza issue ndiyo yaandike siku ya pili au 3