Update ya hali ya Mwakyembe

G. Activist

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
482
125
Habari ndugu Zangu wana JF,

Ninawiwa kufahamu hali ya Mh. Mwakyembe huko India!
Please mwenye lolote kuhusu hali yake hebu atujuze hapa Jamvini.
 
Nakushauri tika kwa waziri mwenzake au nyumbani kwake maana habari kwa sasa ni za familia na serikali .Magazeti kama ujuavyo yanangoja JF tuibue kwanza issue ndiyo yaandike siku ya pili au 3
 
Anaendelea vizuri, kama kuna taarifa tofauti tutajulishwa. Mungu ni mkubwa.
 
Mtu mmoja mwenye haki anapo ondoka hasira ya mungu inawaka juu ya waovu wote!!!!!


Hapana hofu juu ya afya ya mwakyembe kwani hata akifa mafisadi watauana tu!!!!.
 
Jason Bourne alisema ndani ya masaa 48 atatupa habari ya kilichojiri mara baada kuugua kwa Mwakyembe.Alidai atakuja na kile alichokiita "Taarifa za uchunguzi".Sasa simwoni tena na pia nadhani masaa hayo yameshapita sasa.
 
Jamaa aliyemsindikiza airport Nnauye Jr ni member humu JF, atujuze hali yake kwani kikawaida huwezi kumsindikiza mtu airport ili kupata publicity halafu ushindwe kufuatilia hali ya afya yake. Sisi wengine tunafanya tathmini kuhusu jimbo in case kunaitiswa uchaguzi kwani cannibalism za CCM ziko juu sana
 
Taifa linapita kwenye kipindi kigumu tangu kifo cha shekhe Yahya Hussein mkazi wa pale Mwembechai, mganga na shekhe wetu ambae kwa miaka mingi alitumika kama kiona mbali cha Taifa. Haya ya kina Mwakyembe angekua hai angekua tayari kaisha yatabiri na kuyatolea muongozo, na asingeacha kuwapa kinga wanaccm wenzake.

250641_111335135620453_100002319008620_119250_865469_n.jpg


 
Jason Bourne alisema ndani ya masaa 48 atatupa habari ya kilichojiri mara baada kuugua kwa Mwakyembe.Alidai atakuja na kile alichokiita "Taarifa za uchunguzi".Sasa simwoni tena na pia nadhani masaa hayo yameshapita sasa.

Mbona ipo siku nyingi sana? jaribu kuangalia habari yenye kichwa cha habari: Uchunguzi binafsi juu ya afya .....ipo ni kali sana na imekaa njema sana ila inatisha sana hasa ile first version ambayo ilitaja majina ya wahusika...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom