Update ya hali ya Mwakyembe

Jason Bourne alisema ndani ya masaa 48 atatupa habari ya kilichojiri mara baada kuugua kwa Mwakyembe.Alidai atakuja na kile alichokiita "Taarifa za uchunguzi".Sasa simwoni tena na pia nadhani masaa hayo yameshapita sasa.

mbona kashaleta nadhani toka juzi jina la thread nimelisahau kidogo,
 
angetabiri nini labda angetabiri kwa kushirikiana na LTK ili kuhalalisha vifo vya wapiganaji wetu, afadhali hata kafa coz uwepo wake ulikuwa ni disturbance kwa Taifa. Naamini atkuwa motoni tu hana cha maana alichofanya hapa duniani zaidi ya kuchonganisha watu na kuwadhulumu watanzania nae ni miongoni mwa mafisadi.
 
Habari ndugu Zangu wana JF,

Ninawiwa kufahamu hali ya Mh. Mwakyembe huko India!
Please mwenye lolote kuhusu hali yake hebu atujuze hapa Jamvini.

Ndugu hapa si mahali pa kuomba kufamahamishwa habari, kama ukiona hakuna habari unayotaka kusikia kuwa mpole tu, kwani habari zote unazosoma hapa huwa unaziomba? yani badala ya kuleta habari unaanzisha thread kwa ajili ya kuomba habari acha hizo bana.

Halafu nimekumbuka bora niseme kabisa, unakuta mtu anakuja na habari eti ooohh, jamani nimesikia hiki au kile mwenye taarifa zaidi atujuze.
wenye tabia kama hizo acheni mara moja.

pamoja mkuu, not personal ni mtazamo wangu tu.
 
YEGO! lukansola, wakondya go!
 
angetabiri nini labda angetabiri kwa kushirikiana na LTK ili kuhalalisha vifo vya wapiganaji wetu, afadhali hata kafa coz uwepo wake ulikuwa ni disturbance kwa Taifa. Naamini atkuwa motoni tu hana cha maana alichofanya hapa duniani zaidi ya kuchonganisha watu na kuwadhulumu watanzania nae ni miongoni mwa mafisadi.
Muuaji kabisa,MBWA WEE..!
 
we umelifanyia nini TAIFA lako?
 
Jason Bourne alisema ndani ya masaa 48 atatupa habari ya kilichojiri mara baada kuugua kwa Mwakyembe.Alidai atakuja na kile alichokiita "Taarifa za uchunguzi".Sasa simwoni tena na pia nadhani masaa hayo yameshapita sasa.

Masaa 48 ya Jason bourne bado kidogo ni mpk kesho.
 
Dr-Harrison-Mwakyembe.jpg
Nani Mimi? eeh!
 
huyu jason bourne ni nani tena? nimeisoma ile kitu kupitia google search inatisha haswa ukizingatia jinsi Usalama wanavyotumika kijinga jinga kwa maslahi binafsi ya RA, EL, Mkapa na mstaafu wao Upson.dangerous stuff, by the way Slaa wanamuogopa kwa sababu watawapa chati zaidi wapinzani wakimfanyia mchezo huu wa kiuuaji, nafikiri wanachotumia ni kupandikiza watu wao kama akina Zitto ili hata CDM ikishinda kuwe na watu wa kumshauri Slaa asiwachukulie hatua za kuwafilisi
 
Taifa linapita kwenye kipindi kigumu tangu kifo cha shekhe Yahya Hussein mkazi wa pale Mwembechai, mganga na shekhe wetu ambae kwa miaka mingi alitumika kama kiona mbali cha Taifa. Haya ya kina Mwakyembe angekua hai angekua tayari kaisha yatabiri na kuyatolea muongozo, na asingeacha kuwapa kinga wanaccm wenzake.

250641_111335135620453_100002319008620_119250_865469_n.jpg

Haaahaa. Nchi yetu bwana!!! Inaelekea viongozi wengi hawaendi bila kutumia waganga wa kienyeji ingawa hili la hawa mawaziri wawili jinsi lilivyo kwangu halijakaa sawasawa
 
Back
Top Bottom