Swadakita kabisa mzee haipo hiyo labda kambi ya mgambo luteni kuwa mkuu wa kambi labda ni luteni kanaliMkuu, hakuna kiongozi wa Kambi ya JWTZ Tanzania nzima ambaye ni Luteni
Mzee Tupatupa
Mkuu kaangalia ajira yake ujue,angewatuma kulipiza angekuwa anauza mkaa mtaan saa hizi,pili katazama na kosa lenyewe na kaona mkorofi ni askari wakeHuyo Kamanda Wa Jeshi Hakutaka Makubwa, Vinginevyo Bodaboda Wangeipata Fresh Maana Wanajifanya Wajanja Sana Kwa Kuchangia Mtu. Bodaboda Ni Wa Kuangalia Sana Kwa Jicho La Tatu Maana Ni Kikundi Sensitive Sana Kutekeleza Uhalifu Na Kujichukulia Sheria Mkononi
Labda alitaka kusema Luteni Kanali. Hajui tofauti kubwa iliyopo katika vyeo hivyo viwili.Mkuu, hakuna kiongozi wa Kambi ya JWTZ Tanzania nzima ambaye ni Luteni
Mzee Tupatupa
Katika mazungumzo hayo,inasemekana yule luteni amefedheheka sana na kitendo kilichotendwa na askari wake kwa kufanya utovu wa nidhamu kudhulumu shillingi 1500 kwa raia kwani kwa namna moja anachafua sifa ya jeshi la wananchi(JWTZ) lakini amesema askari huyo ambaye ni private atahojiwa zaidi hali yake kimwili ikitengemaa
we mwenyewe tena?First to reply
ni kweli lakini na askali kwa upande wao huwa ni wababe na ubabe usio na tija kwani umepanda boda unastahili kulipaHuyo Kamanda Wa Jeshi Hakutaka Makubwa, Vinginevyo Bodaboda Wangeipata Fresh Maana Wanajifanya Wajanja Sana Kwa Kuchangia Mtu. Bodaboda Ni Wa Kuangalia Sana Kwa Jicho La Tatu Maana Ni Kikundi Sensitive Sana Kutekeleza Uhalifu Na Kujichukulia Sheria Mkononi