screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,916
- 15,974
Atakuwa anamaanisha Luteni KanaliMkuu, hakuna kiongozi wa Kambi ya JWTZ Tanzania nzima ambaye ni Luteni
Mzee Tupatupa

Wapo wengi wenye busara mkuu. Ni wajinga wachache tu ndio wanawaharibia sifa.Kiongozi ana busara sana huyo.
Nafikiri wanajeshi wengine watajifunza hapa, sio kutumia ubabe kila sehemu
Umeongea kweli.Bodaboda Ni Kikundi Tulivu Na Kinafanya Kazi Zao Kwa Amani Tu. Lakini Ni Vikundi Hatari Sana Kujichukulia Sheria Mkononi Na Kufanya Uhalifu. Wengi Wao Ama Walikuwa Vibaka Au Majambazi Au Shughuli Zingine Tata, Ndiyo Maana Huwa Hawana Huruma Kumfanyia Uhalifu Mtu Anayejiingiza Vibaya Kwenye Anga Zao. Akigongwa Bodaboda Kwa Bahati Mbaya Hawachelewi Kulipiza Kisasi Palepale Mara Mbili Yake. Wamekaa Mkao Wa Kihunihuni Tu. Bodaboda Ni Mojawapo Ya Biashara Ya Kihuni Mjini. Ina Mbilinge Nyingi Barabarani Kama Kuchomekeana Na Kuhatarisha Usalama Barabarani, Hawajali Zebra Na Alama Zingine Za Maonyo Barabarani. Ni Kero Tupu Barabarani
Bodaboda kwa sasa ni jeshi kubwa sana na la kuogopwa na inatakiwa liangaliwe kwa jicho la tatu kwa jinsi wanavyo jichukulia sharia mkononi,mgonge bodaboda hata kama kosa lake utakiona cha moto,na mpaka wajeda wananywe hii sasa hatari.Wandugu habari,
Juzi nilileta taarifa kuhusiana na mwanajeshi wa jwtZ kupewa kichapo kikali na vijana wa bodaboda punde baada ya kumdhulumu yule kijana 1500 tu ambayo ilikuwa ni kwaajili ya malipo ya huyo boda kwa hiyo huduma.
Sasa jana inasemekana kiongozi wa kambi ya mafinga mwenye cheo cha luteni(jina halijafahamika) alikwenda kituo cha polisi mafinga kwaajili ya kuzungumza na mkuu wa polisi mafinga(OCD) ambapo pia alimshukuru kamanda huyo kwa kuwa police waliwahi mapema kumuokoa huyo kijana kwasababu bila hivyo angekuwa ni hayati.Katika mazungumzo hayo,inasemekana yule luteni amefedheheka sana na kitendo kilichotendwa na askari wake kwa kufanya utovu wa nidhamu kudhulumu shillingi 1500 kwa raia kwani kwa namna moja anachafua sifa ya jeshi la wananchi(JWTZ) lakini amesema askari huyo ambaye ni private atahojiwa zaidi hali yake kimwili ikitengemaa kwani bado yupo nyumbani akiugulia na uchunguzi unafanyika ikibainika kosa ni lake sheria za kiuaskari zitafwatwa.
Source:ebony
MY TAKE:sasa nimeamini hii awamu nyingine na zama zimebadilika,mimi nilifikiri wangekwenda kulipiza kisasi kwa bodaboda wote badala yake kaenda police kisheria Zaidi ndio kwanza anasema anafanya UCHUNGUZI.kweli sasa uonevu umekwisha
Kwani hao bodaboda ni wanachadema au kafu?Wandugu habari,

ASKARI WETU KIPINDI HIKI WANAFANYA KAZI KWA WELEDI MKUBWA SANA, LAKINI TUSIWACHOKOZE SASA!Wandugu habari,

vipi waliishawahi kukukuchukulia mke? au umekaririshwa kuwa huwa wanajiona? kwa ufahamu wangu hakuna watu wastaarabu na tunaoshirikiana nao mtaani km wajenda, lkn sio kisa mnashikiriana uanze kuonesha dharau hapo utaona kweli wanajiona.Hawa wajeda wanajionaga wababe Sana
We jamaa kweli noma,umeanzisha uzi then ukawahi nafasi ya joseverest mwenyeweFirst to reply