Update: Rais Magufuli atazikwa Machi 26, 2021

KAMATI YA ROHO MBAYA

ACHENI WIVU
DKT. POMBE ALIKUWA RAISI WA WATANZANIA WOTE HATA ANGEZUNGUSHWA MIKOA YOTE BADO INGE KUWA SAWA,
KWANZA SISI WATU WA MWITONGO -BUTIAMA TUNAILAUMU SERIKALI KWANINI HAWAJAFIKA HUKU BUTIAMA.

Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
 
Eti shujaa wa Afrika!!!! Labda shujaa wa ccm hapo sawa.
 
Subiri nawewe ufe uone watakaokulilia ni wangapi. Watu wengine mmejawa na husda. Yaani kitendo cha Marehem kupendwa tayari unakuwa hasidi. Sasa subiri nawewe ufe utazunguushwa kijijini kwenu uone kata watu watalia hata
 
Mtu aliyekufa ni marehemu.

Siye yeye anayeamua azungushwe, usiwasingizie!

Ni waliobaki ndiyo wanaamua, na hii ni kutokana na kuguswa sana na kazi alizozifanya marehemu. Ungeweka unafiki pembeni ungeona kwamba hata Dar watu walihitaji zaidi ya siku 2 za kutoa heshima za mwisho. Kama wewe ukuguswa kausha, waaachie wanaolilia kumuaga.

Au roho inauma sababu Fatma Karume na Lisu walisema/walionyesha watu wamefurahia kifo chake? Kumbe ni kinyume chake.
 
Kafara la kuzungusha mifupa inayokauka na nyama zinazooza linakamilika kesho ..
Halafu baada ya hapo tunatangaziwa mengineyo
 
Subiri nawewe ufe uone watakaokulilia ni wangapi. Watu wengine mmejawa na husda. Yaani kitendo cha Marehem kupendwa tayari unakuwa hasidi. Sasa subiri nawewe ufe utazunguushwa kijijini kwenu uone kata watu watalia hata
Kufa ni kufa hata uzungushwe mwezi mzima hakuna kinachobadilika umeshabaki maiti(takataka) kwa hiyo haijalishi umezikwa siku hiyo au umetunzwa mwaka mzima na kupigiwa saluti tayari umeshakuwa useless muda huo na ni ibada ya sanamu.
 
Angekuwa hapendwi...watu wasingejisumbua kujazana mabarabarani.

Mambo mengine tukubaliane nayo tu...jamaa alikuwa na nyota ya kukubalika...afe baba yako uone hta kama watu watajazana.
 
Huna akili, Kwani Marehemu ndiye kapanga Ratiba!
 

Unaonea Wivu mwendazake?
 
Tulizoea ule msemo wa Chema chajiuza kibaya chajitembeza. Kumbe hiki kibaya kisipojitembeza kitatembezwa bila kupenda.
 
CHEMA CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA. KUMBE KIKISHINDWA KUJITEMBEZA KITATEMBEZWA ILI KUTIMIZA MSEMO YAANI KUTIMIZA MAANDIKO
 
Itakuwa saa ngapi?? Na nikichukua ungo mida ya saa 4 asubui vipi nitawai??
 
Nakukumbisha tu.... JPM alikuwa raisi aliyefariki akiwa madarakani...

Nyerere alikuwa pensioner teyari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…