Update: Rais Magufuli atazikwa Machi 26, 2021

Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
11,330
2,000
Litakuja kudumbukia na kupotelea bahari ya hindi wasije wakasema hatujawaambia.

Nendeni mkamzike Magufuli acheni kumzungusha.

Wanzazibar hawataki kumuona.
AISEEE!
Hebu sema tena.

Ikitokea la kutokea na ikawa hivyo!

Itabidi tubadili kabisa jina la nchi yetu.
 
Coloneli

Member
Aug 24, 2020
35
150
Najaribu kuangalia nguvu kubwa inayotumiwa na Kamati ya Mazishi, kuonyesha ni jinsi gani Rais John Joseph Magufuli alivyokuwa akipendwa na wananchi. Ameagwa Dar es Salaam kwa siku mbili, akapelekwa Dodoma kwa siku moja kwa kigezo cha kutimiza ndoto za Nyerere kuifanya kuwa Makao Makuu. Akarushwa tena hadi Zanzibar kwa kigezo cha sehemu ya Muungano, akapelekwa Mwanza na hatimaye Chato.

Mtu mmoja mkubwa tu nchini hapa amesikika akiudanganya umma kuwa zaidi ya nusu ya watu duniani walitazama tukio la kuagwa kwake lililofanyika pale Dodoma. Sasa najiuliza, hivi kama shujaa halisi wa Afrika, Mwalimu Julius Nyerere angekuwa ni mpenda promo namna hii, mwili wake si ungekaa mwezi mzima ukizungushwa bara zima la Afrika ili aagwe? Maana licha ya kufikishwa katika mikoa yote Bara na Visiwani, angepelekwa Addis Ababa, Makao Makuu ya AU, maana yeye ndiye muasisi wa umoja ule.

Angepelekwa Maputo, Windhoek, Lusaka, Harare, Gaborone maana huko kote alizisaidia nchi hizo kupata Uhuru wakiwa na Base yao Tanzania. Wana Kamati ya mazishi yake wangempeleka pia Johannesburg kwa sapoti kubwa iliyopewa Afrika Kusini.

Lazima wangempeleka Kampala ambako aliwasaidia Waganda kumng'oa Idd Amin. Na bila shaka angepelekwa pia Tripoli, ambako Nyerere aliwarejesha mateka wa vita waliokuja kumsaidia Idd Amin vitani.

Ni lazima pia angepelekwa Burundi, Rwanda na DRC maana kwa miaka mingi tumewahifadhi wakimbizi wao katika ardhi yetu na baadhi yao walipewa hadi Uraia.

Sasa huyu wa kwetu tunamuita shujaa wa Afrika kwa lipi? Mbona tunajiongopea wenyewe?

Tupunguze promo, uacheni uhalisia uchukue nafasi yake, hata ndani ya CCM kuna watu wanafurahia kifo chake, sembuse wananchi wa kawaida?
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
9,702
2,000
Yatapita tu na maisha yataendelea kama kawaida. Walau Mwalimu alitendewa haki. Ila kwa huyu, naona kamati imeongeza kidogo na chumvi.

Yaani wiki mbili zinatumika kwa ajili tu ya kumuaga marehemu! Eti kwa kisingizio cha kupendwa sana na wanyonge! Ni mateso makubwa sana kwa marehemu mwenyewe na familia yake kwa ujumla.
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,877

"Kila nilipokuwa nikitaka kung'atuka walikuwa wakiniambia: 'Mwalimu endelea tu, hii nchi ni changa na umeitoa mbali. Nchi hii haitaendelea bila wewe'. Nami niliiendelea hadi pale nilipokuja kugundua kumbe nchi changa waliyoiongelea ni familia zao, na hazitaendelea bila mimi kuwepo madarakani, maana walikuwa hawana uhakika kama Rais ajaye atawaacha katika nafasi walizokuwa nazo." - Mwalimu Julisu Kambarage Nyerere...
 
Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
16,183
2,000
Duuh aisee, labda mimi ndiyo sijaelewa, kwamba marehemu ndiyo ameandaa ratiba ya kuagwa? Nchi ngumu sana hii
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
9,702
2,000
"Kila nilipokuwa nikitaka kung'atuka walikuwa wakiniambia: 'Mwalimu endelea tu, hii nchi ni changa na umeitoa mbali. Nchi hii haitaendelea bila wewe'. Nami niliiendelea hadi pale nilipokuja kugundua kumbe nchi changa waliyoiongelea ni familia zao, na hazitaendelea bila mimi kuwepo madarakani, maana walikuwa hawana uhakika kama Rais ajaye atawaacha katika nafasi walizokuwa nazo." - Mwalimu Julisu Kambarage Nyerere...
MATAGA ni tatizo kwa ustawi wa demokrasia. 😇
 
Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,452
2,000
Nyie ndio mmepelekea hivyoo.

Siku ya DSM mlisema watu wachache mkajaribu kucompare na wakati wa Nyerere.

Kuweni wapole tu dawa iwakolee.

NB: Sijasoma content
Acha nae huyo anatafuta ugali wake. Wengi wanaishi kwa kuandika utumbo humu mitandaoni ili kuwafurahisha waliowatuma. Mtu kama huyu mleta mada yupo tayar hata kutoa to..bo lake ili mradi mkono uende kinywan. Njaa ya kujitakia sio nzur
 
stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
5,187
2,000
Najaribu kuangalia nguvu kubwa inayotumiwa na Kamati ya Mazishi, kuonyesha ni jinsi gani Rais John Joseph Magufuli alivyokuwa akipendwa na wananchi. Ameagwa Dar es Salaam kwa siku mbili, akapelekwa Dodoma kwa siku moja kwa kigezo cha kutimiza ndoto za Nyerere kuifanya kuwa Makao Makuu. Akarushwa tena hadi Zanzibar kwa kigezo cha sehemu ya Muungano, akapelekwa Mwanza na hatimaye Chato.
Mtu mmoja mkubwa tu nchini hapa amesikika akiudanganya umma kuwa zaidi ya nusu ya watu duniani walitazama tukio la kuagwa kwake lililofanyika pale Dodoma. Sasa najiuliza, hivi kama shujaa halisi wa Afrika, Mwalimu Julius Nyerere angekuwa ni mpenda promo namna hii, mwili wake si ungekaa mwezi mzima ukizungushwa bara zima la Afrika ili aagwe? Maana licha ya kufikishwa katika mikoa yote Bara na Visiwani, angepelekwa Addis Ababa, Makao Makuu ya AU, maana yeye ndiye muasisi wa umoja ule.
Angepelekwa Maputo, Windhoek, Lusaka, Harare, Gaborone maana huko kote alizisaidia nchi hizo kupata Uhuru wakiwa na Base yao Tanzania. Wana Kamati ya mazishi yake wangempeleka pia Johannesburg kwa sapoti kubwa iliyopewa Afrika Kusini. Lazima wangempeleka Kampala ambako aliwasaidia Waganda kumng'oa Idd Amin. Na bila shaka angepelekwa pia Tripoli, ambako Nyerere aliwarejesha mateka wa vita waliokuja kumsaidia Idd Amin vitani.
Ni lazima pia angepelekwa Burundi, Rwanda na DRC maana kwa miaka mingi tumewahifadhi wakimbizi wao katika ardhi yetu na baadhi yao walipewa hadi Uraia.
Sasa huyu wa kwetu tunamuita shujaa wa Afrika kwa lipi? Mbona tunajiongopea wenyewe? Tupunguze promo, uacheni uhalisia uchukue nafasi yake, hata ndani ya CCM kuna watu wanafurahia kifo chake, sembuse wananchi wa kawaida?

Vipi unataka na wewe tukuzungushe ama umeumia?
 
Modeller

New Member
Sep 7, 2010
2
45

Tueleze ratiba ya kumuaga Mwl Nyerere ilivyokuwa kama kweli ulikuwepo. No research no right to speak!
 
kina kirefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
4,009
2,000
Bado nawaza safari ya Izrael ilikua kwajili ya nini..matibabu au maswala ya kidpolomasia, Izrael angeenda harafu arudi ritokee hilo sijui afrika izrael ingeonekanaje.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom