Update: Rais Magufuli atazikwa Machi 26, 2021

KAMATI YA ROHO MBAYA

ACHENI WIVU
DKT. POMBE ALIKUWA RAISI WA WATANZANIA WOTE HATA ANGEZUNGUSHWA MIKOA YOTE BADO INGE KUWA SAWA,
KWANZA SISI WATU WA MWITONGO -BUTIAMA TUNAILAUMU SERIKALI KWANINI HAWAJAFIKA HUKU BUTIAMA.

Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
 
Najaribu kuangalia nguvu kubwa inayotumiwa na Kamati ya Mazishi, kuonyesha ni jinsi gani Rais John Joseph Magufuli alivyokuwa akipendwa na wananchi. Ameagwa Dar es Salaam kwa siku mbili, akapelekwa Dodoma kwa siku moja kwa kigezo cha kutimiza ndoto za Nyerere kuifanya kuwa Makao Makuu. Akarushwa tena hadi Zanzibar kwa kigezo cha sehemu ya Muungano, akapelekwa Mwanza na hatimaye Chato....
Eti shujaa wa Afrika!!!! Labda shujaa wa ccm hapo sawa.
 
Subiri nawewe ufe uone watakaokulilia ni wangapi. Watu wengine mmejawa na husda. Yaani kitendo cha Marehem kupendwa tayari unakuwa hasidi. Sasa subiri nawewe ufe utazunguushwa kijijini kwenu uone kata watu watalia hata
 
Najaribu kuangalia nguvu kubwa inayotumiwa na Kamati ya Mazishi, kuonyesha ni jinsi gani Rais John Joseph Magufuli alivyokuwa akipendwa na wananchi. Ameagwa Dar es Salaam kwa siku mbili, akapelekwa Dodoma kwa siku moja kwa kigezo cha kutimiza ndoto za Nyerere kuifanya kuwa Makao Makuu. Akarushwa tena hadi Zanzibar kwa kigezo cha sehemu ya Muungano, akapelekwa Mwanza na hatimaye Chato....
Mtu aliyekufa ni marehemu.

Siye yeye anayeamua azungushwe, usiwasingizie!

Ni waliobaki ndiyo wanaamua, na hii ni kutokana na kuguswa sana na kazi alizozifanya marehemu. Ungeweka unafiki pembeni ungeona kwamba hata Dar watu walihitaji zaidi ya siku 2 za kutoa heshima za mwisho. Kama wewe ukuguswa kausha, waaachie wanaolilia kumuaga.

Au roho inauma sababu Fatma Karume na Lisu walisema/walionyesha watu wamefurahia kifo chake? Kumbe ni kinyume chake.
 
Kafara la kuzungusha mifupa inayokauka na nyama zinazooza linakamilika kesho ..
Halafu baada ya hapo tunatangaziwa mengineyo
 
Subiri nawewe ufe uone watakaokulilia ni wangapi. Watu wengine mmejawa na husda. Yaani kitendo cha Marehem kupendwa tayari unakuwa hasidi. Sasa subiri nawewe ufe utazunguushwa kijijini kwenu uone kata watu watalia hata
Kufa ni kufa hata uzungushwe mwezi mzima hakuna kinachobadilika umeshabaki maiti(takataka) kwa hiyo haijalishi umezikwa siku hiyo au umetunzwa mwaka mzima na kupigiwa saluti tayari umeshakuwa useless muda huo na ni ibada ya sanamu.
 
Angekuwa hapendwi...watu wasingejisumbua kujazana mabarabarani.

Mambo mengine tukubaliane nayo tu...jamaa alikuwa na nyota ya kukubalika...afe baba yako uone hta kama watu watajazana.
 
Najaribu kuangalia nguvu kubwa inayotumiwa na Kamati ya Mazishi, kuonyesha ni jinsi gani Rais John Joseph Magufuli alivyokuwa akipendwa na wananchi. Ameagwa Dar es Salaam kwa siku mbili, akapelekwa Dodoma kwa siku moja kwa kigezo cha kutimiza ndoto za Nyerere kuifanya kuwa Makao Makuu. Akarushwa tena hadi Zanzibar kwa kigezo cha sehemu ya Muungano, akapelekwa Mwanza na hatimaye Chato...
Huna akili, Kwani Marehemu ndiye kapanga Ratiba!
 
"Ndugu Wananchi Mnaombwa Mjitokeze Kwa Wingi Sana Sana Kwenda Kutoa Salamu Za Mwisho Kwa Marehemu, Ili Tuoneshe Dunia Marehemu Alikua Anapendwa. Mnaombwa Msikose Kujitokeza. Ahsanteni Sana." - Dr Abbas Feat PM Majaliwa & Co Ltd (Meneja Kampeni Na Uhamasishaji Team).

Unaonea Wivu mwendazake?
 
Tulizoea ule msemo wa Chema chajiuza kibaya chajitembeza. Kumbe hiki kibaya kisipojitembeza kitatembezwa bila kupenda.
 
Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli atazikwa nyumbani kwao Chato Machi 26, tofauti na tarehe iliyotajwa awali ambayo ilikuwa Machi 25.

Mwili wa Rais Magufuli utaagwa na wananchi wa Dar, Machi 20 na 21 Uwanja wa Uhuru kabla ya kusafirishwa kwenda Dodoma ambapo utaagwa Machi 22.

Baada ya Dodoma mwili utapelekwa Zanzibar ambao watapata nafasi ya kuaga Machi 23. Kisha utaelekea Mwanza ambapo wataaga Machi 24.

Ukitoka Mwanza, mwili wa Rais Magufuli utapelekwa Chato ambapo utaagwa Machi 25. Kisha Machi 26 itakuwa siku ya Mazishi huko Chato Mkoani Geita.
CHEMA CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA. KUMBE KIKISHINDWA KUJITEMBEZA KITATEMBEZWA ILI KUTIMIZA MSEMO YAANI KUTIMIZA MAANDIKO
 
Itakuwa saa ngapi?? Na nikichukua ungo mida ya saa 4 asubui vipi nitawai??
Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli atazikwa nyumbani kwao Chato Machi 26, tofauti na tarehe iliyotajwa awali ambayo ilikuwa Machi 25.

Mwili wa Rais Magufuli utaagwa na wananchi wa Dar, Machi 20 na 21 Uwanja wa Uhuru kabla ya kusafirishwa kwenda Dodoma ambapo utaagwa Machi 22.

Baada ya Dodoma mwili utapelekwa Zanzibar ambao watapata nafasi ya kuaga Machi 23. Kisha utaelekea Mwanza ambapo wataaga Machi 24.

Ukitoka Mwanza, mwili wa Rais Magufuli utapelekwa Chato ambapo utaagwa Machi 25. Kisha Machi 26 itakuwa siku ya Mazishi huko Chato Mkoani Geita.
 
Najaribu kuangalia nguvu kubwa inayotumiwa na Kamati ya Mazishi, kuonyesha ni jinsi gani Rais John Joseph Magufuli alivyokuwa akipendwa na wananchi. Ameagwa Dar es Salaam kwa siku mbili, akapelekwa Dodoma kwa siku moja kwa kigezo cha kutimiza ndoto za Nyerere kuifanya kuwa Makao Makuu. Akarushwa tena hadi Zanzibar kwa kigezo cha sehemu ya Muungano, akapelekwa Mwanza na hatimaye Chato.

Mtu mmoja mkubwa tu nchini hapa amesikika akiudanganya umma kuwa zaidi ya nusu ya watu duniani walitazama tukio la kuagwa kwake lililofanyika pale Dodoma. Sasa najiuliza, hivi kama shujaa halisi wa Afrika, Mwalimu Julius Nyerere angekuwa ni mpenda promo namna hii, mwili wake si ungekaa mwezi mzima ukizungushwa bara zima la Afrika ili aagwe? Maana licha ya kufikishwa katika mikoa yote Bara na Visiwani, angepelekwa Addis Ababa, Makao Makuu ya AU, maana yeye ndiye muasisi wa umoja ule.

Angepelekwa Maputo, Windhoek, Lusaka, Harare, Gaborone maana huko kote alizisaidia nchi hizo kupata Uhuru wakiwa na Base yao Tanzania. Wana Kamati ya mazishi yake wangempeleka pia Johannesburg kwa sapoti kubwa iliyopewa Afrika Kusini.

Lazima wangempeleka Kampala ambako aliwasaidia Waganda kumng'oa Idd Amin. Na bila shaka angepelekwa pia Tripoli, ambako Nyerere aliwarejesha mateka wa vita waliokuja kumsaidia Idd Amin vitani.

Ni lazima pia angepelekwa Burundi, Rwanda na DRC maana kwa miaka mingi tumewahifadhi wakimbizi wao katika ardhi yetu na baadhi yao walipewa hadi Uraia.

Sasa huyu wa kwetu tunamuita shujaa wa Afrika kwa lipi? Mbona tunajiongopea wenyewe?

Tupunguze promo, uacheni uhalisia uchukue nafasi yake, hata ndani ya CCM kuna watu wanafurahia kifo chake, sembuse wananchi wa kawaida?
Nakukumbisha tu.... JPM alikuwa raisi aliyefariki akiwa madarakani...

Nyerere alikuwa pensioner teyari
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom