Update: Rais Magufuli atazikwa Machi 26, 2021

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
53,576
2,000
Umefikia kiwango kibaya kabisa cha chuki.Chuki humla yeye aliyeibeba, bali wema humneemesha yeye aliyeibeba.
Walivyomuua ben saanane ndugu yangu kabisa undhani nilipata mchungu kiasi gani??

Yaani nna chuki nao kuliko hii uliuoiona hapo.
 

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
5,132
2,000
Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli atazikwa nyumbani kwao Chato Machi 26, tofauti na tarehe iliyotajwa awali ambayo ilikuwa Machi 25.

Mwili wa Rais Magufuli utaagwa na wananchi wa Dar, Machi 20 na 21 Uwanja wa Uhuru kabla ya kusafirishwa kwenda Dodoma ambapo utaagwa Machi 22.

Baada ya Dodoma mwili utapelekwa Zanzibar ambao watapata nafasi ya kuaga Machi 23. Kisha utaelekea Mwanza ambapo wataaga Machi 24.

Ukitoka Mwanza, mwili wa Rais Magufuli utapelekwa Chato ambapo utaagwa Machi 25. Kisha Machi 26 itakuwa siku ya Mazishi huko Chato Mkoani Geita.
Mimi sikutaka afe. Nilitaka hiyo stroke aliyopata abakie anahema, anakaa kitandani kila kitu yaani haja kubwa na ndogo anaachia hapo hapo mpaka mwaka 2025 ili aone faida ya zile kura za u-Rais alizoiba October 25, 2020.

Huyu Magufuli alikuwa na unyama ambao hata Shetani anaogopa.
 

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
12,047
2,000
Hii yote ni njia ya kupiga pesa tu, kitu ambacho marehemu mwenye alikipinga. Waratibu wa safari wanapigia mafundi ujenzi kwenye viwanja vyao waendelee kujenga, maana hapa mpunga mrefu unapigwa. Sitostaajabu bajeti ya mazishi ya raisi kuja kusemwa imetumika trilioni kadhaa.
Dar kwenda ZNZ ni karibu zaidi, kwanini wasimpeleke Zanzibar halafu ndio Dodoma. Lakini wao wanamzungusha mpaka Dodoma halafu wanamrudisha nyuma tena kwenda Zanzibar.
Kama marehemu angeweza jisemea angeamuru azikwe hata leo.
Hutaki pesa zirudi mtaani!!???
au mafundi wapate chochote
 

Mr Slim

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
834
1,000
Msisahau kusaini mishahara itoke kama kawaida, maana hamchelewi kujisahaurisha.

cc; Samia & Bashiru

Kumbuka ni first time hii kwenu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom