UPDATE: Padri afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti watoto 10 Moshi

Natamani wanachokifanya polisi kwa panyaroad wangekifanya kwa hawa wabakaji pia.

Li mtu linaumiza watoto na bila aibu linaenda kuendesha misa. Wakatoliki mnafeli wapi ruhusuni mapadri waoe
Pia ni Mkatoliki, lakini napingana na vitendo vya unyanyaji vingi vinavyofanywa na Viongozi wetu wa dini. Ni wakati sasa sheria kuchukua mkondo wake ili kukomesha vitendo hivi viovu.
 
Haya matukio ya mapadre kulawiti watoto yanafanyika Sana, yaani ni vile watu hawajajitokeza,au watoto wanaogopa kusema hadharani. Hili kanisa la katoliki ni kama mpango wa dunia nzima kuwafanyia watu Usodoma,laiti watu wangefungua macho walijue hiki kanisa!
 
Afungwe maisha tu huyo padre, sikuzote tunawaambia wakatoriki waruhusu watendaji wao kuoa hawasikii.
Mapadri wa Kikatoriki wana idhalilisha sana imani ya Kristo.
 
Kuuwa Ni sawa ila hakikisha na wee unaye uwa uwe msafi mno
NINAWEZA KUWA MCHAFU, LAKINI SIO HII YA KUDHURUMU HAKI YA WATOTO. UNAOWAFUNDISHA MAFUNDISHO YA MUNGU NA YESU KRISTO. NA KESI ZA HIVI SIO MARA YA KWANZA.
KIBAYA ZAIDI KANISA LINAKUWA KIMYAA.
 
Mimi huwa napata tabu sana kuelewa wanataka nini kwa hawa watoto, mijimama imenona imejaa Tele, inatamanisha kama mamdenyi bado wanafirrrr! Shenzy sana wana bahati sina madaraka nchi hii ningefyeka dushe na kusagasaga pumbu zao kabisa niitwe dikteta.
Sijui hata huwa wanawaza nini,

Itabakia kumsingizia shetani.
 
Majuzi kati hapa nilienda Parokiani kutafuta cheti cha mwanangu cha ubatizo, maisha wanayoishi Hawa watu "waliojitoa sadaka" ni ya kifahari mno! Hapa kijijini tupo watu wa kipato cha chini na maskini wengi ambao hata mlo mmoja kwao ni tabu kuupata ila hawa watawa wamepaki magari ya kifhari, samani za ndani, majikovu yaliyojaa pombe za gharama....na mavazi ya kifahari. Hawa jamaa wanafika hatua ya kugombania kwenda kuendesha Misa kwenye vigango na makanisa ambayo wanajua sadaka inayotolewa kule ni kubwa, yanapigana "vipapai"

Je maisha yao ndiyo yanawafanya wageuge wabakaji na walawiti? Hakuna uhusiano wa moja kwamoja ila ila "ulafi na kuvimbiwa" huzaa tamaa nyingine kama wizi, nk
 
It is sad that the clergy has done this shit. Ninapenda kuwa mdadisi zaidi...alisomea wapi na wapi mpaka akawa padri?
Ana miaka mingapi ya upadri? Kanisa linavunja moyo waumini
Hili ni moja tu kati ya mengi ambayo hayatangazwi.
Hao viongozi ni wachafu kupitilza!
 
Kwa nini hawa watu hawaoi sasa , sasa genye wanazitoaje , mwisho Wa Siku ndio wanaanza Fanya huu upuuzi
Kuowa siyo solution,huu mwaka toka uanze umesikia matukio mangapi ya ulawiti kama haya?unadhani watendaji wa haya hawajaowa?

Wengine ni wazee above 70s mmoja majuzi alihukumiwa jela maisha kwa ulawiti unadhani huyu mpaka ana sabini kishaona wanawake wangapi uchi still akalawiti mtoto aged 14?kuna mwengine huko Mwanza amemlawiti mwanae aliyetoka kwenye kiuno chake (yaani mwanae wa kumzaa nae kala jela maisha leo) kuna tatizo labda ni aina ya uwendawazimu au masharti ya waganga....who knows!!!
 
Swalakuingilia watoto wadogo la ni la kishirikina. Wengine wanafanyia hadi watoto wao wa damu. Bila shaka kama kweli alifanya huu unyama atakuwa na agenda binafsi.
Na ukiangalia position aliyopo siyo hata wa kuhangaika na tutoto tudogo huyo akisema achukue binti mmoja mmoja mtaa anaoishi au kijiji kila siku atapata ladha mpya maana hao wenyewe wanawake huwa wanawatamani ni kiasi cha wao kufungua codes tu.

Ipo namna ambayo bado hatujaijua!
 
Natamani wanachokifanya polisi kwa panyaroad wangekifanya kwa hawa wabakaji pia.

Li mtu linaumiza watoto na bila aibu linaenda kuendesha misa. Wakatoliki mnafeli wapi ruhusuni mapadri waoe
Halafu kinacho udhi askofu wao na viongoz wanawakingia kifua
Check huyo askofu alivopigiwa simu majibu yake
Na majibu ya RPC ovyo kabsaa
 
Hivi kweli tatizo ni kutoruhusiwa kuoa?? Mmmh siamini!!! Kwanini hatusikii wamafumaniwa na wake za watu, kwanini tusisikie stori nyingi labda wamewapa ujauzito wanafunzi?? Kwanini tusisikie wamefumaniwa na masista?? Kwanini wanalawiti?? tena watoto wadogo wa kiume!! Hivi hizi hisia za kimapenzi kweli unaangalia kitoto cha darasa la nne cha kiume unakitamani kimapenzi??? Inakujaje yaan? Najiuliza hata sipati picha.
 
Back
Top Bottom