Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,612
- 9,742
Nikifika kwenye settings nichsgue niniIko
Iko poa sana ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Nikifika kwenye settings nichsgue niniIko
Iko poa sana ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Kwa sisi ambao ni ngumbaru wa tech inatusaidia, page yao mi nimeifollow insta siku nyingi.Bongo watu wanajipa uchambuzi wa Kila kitu,huyu eti mchambuzi wa Whatsapp ๐
Kila mtu aliposikia hadithi yake alishika kichwa.Inasikitisha sana
Kwaninj wewe ni mhalifu hadi uogope kujitambulisha ?Sasa hii si itabidi uanze tena kujitambukisha tena kwa watu wako kwamba unaitwa nani?
Kweli wewe ngumbaru feature imetangazwa tangu juzi bando unalo upo tuKwa sisi ambao ni ngumbaru wa tech inatusaidia, page yao mi nimeifollow insta siku nyingi.
JF sio ya babaako Mzee soma uelewe maana ya hili jukwaahatuko hapa kuchekesha mzee ukiona kitu ukielewi pita kushoto ๐
๐hatuko hapa kuchekesha mzee ukiona kitu ukielewi pita kushoto ๐