WhatsApp imeanza kuongeza udhibiti mpya wa wazazi kwa akaunti za vijana (teens). Kipengele hiki kinahusu kuwapa wazazi uwezo wa kuweka mipaka fulani bila kuwapa uwezo wa kusoma ujumbe binafsi wa mtoto.
🔐 Wazazi wataweza kudhibiti nini?
👤 Picha ya profile: mzazi anaweza kuweka nani...
Baada ya kusubiria kwa muda mrefu hatimaye Whatsapp imeanza kuachia feature ya Username kwa watumiaji wake ulimwenguni.
📢 Sasa utaweza kuchati na watu mbalimbali kupitia Whatsapp kwa kutumia Username badala ya namba ya simu. Hii ni hatua kubwa katika kuongeza Usalama na faragha kwa watumiaji...
Urusi imezuia matumizi ya huduma ya ujumbe ya WhatsApp ikidai kampuni hiyo imekiuka sheria za nchi, huku wananchi wakihimizwa kuhamia kwenye jukwaa mbadala linaloungwa mkono na serikali, hatua inayotafsiriwa na wengi kama njia ya kudhibiti uhuru wa kujieleza wakati wa vita vya Ukraine.
Msemaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.