Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,056
[emoji23]Wanatawaliwa na wanawake zào maana mwanamke mwenye akili hawezi kutombana na Askari maisha yake yote.....hawapo humbly kwenye mapenzi
[emoji23]Wanatawaliwa na wanawake zào maana mwanamke mwenye akili hawezi kutombana na Askari maisha yake yote.....hawapo humbly kwenye mapenzi
Kama Mimi nilivyotabirinimetabiri vyema.
Wacha hizo unatufanya tukose mambo we vpUnachosema ni dhahiri mkuu.Kuna baadhi ya watu katika idara nyeti za umma wanapenda kushare baadhi ya vitu vya maofisini as a way to release their grievancies lakini ni busara ya kawaida kuhakikisha haujadili kitu ambacho ni siri ya ofisi/wewe binafsi.Kukaa kimya kwa masuala nyeti ya nchi hasa ya usalama ni UZALENDO pia.So guys tuwe makini
kazi yoyote yakujitolea kufa kwaajili ya maslahi ya watu wengi pia kazi ya kusema yes sir si nzuri kivile sema watu wanafanyia dhiki na njaa ya kuyajaza matumbo yaoJeshi ndio kazi nzuri kabisa sbb unaingia moja kwa moja kupigania nchi inapobidi, na pia kawaida ya jeshi halina umbea umbea,,,
Mkuu unamjua na mfadhili pia..we hatari sana
Kinywaji gani natumia? Soma Zaburi 23 utakikuta paleSijui unatumia kinywaji gani?
Elimu huru muache mjinga afe na ujinga wakeAcha kupotosha kijana. Unasema TPDF inasubiri tuvamiwe ndio waingie kazini. Kitendo cha nchi kutoingia vitani maann yake ni kuwa kuna matishio ya usalama ambayo TPDF kwa kushirikiana na Police pamoja na TISS wameyamaliza kimya kimya bila mwananchi wa kawaida kujua..
Mimi nashauri haya maneno yenye ukweli mtupu lakini yenye kutia uchungu mkubwa sana mioyoni mwa wa-Tanzania, tuache sasa kuendelea kuyaongelea badala yake tujikite kumwangalia JPM anafanya nini, kama wana wa Israeli walivyoelekezwa na Mussa kumwangalia nyoka wa shaba wakiwa Jangwani, kwa kila aliyependa kuendelea kubaki salama. Kama mnataka tuendelee kuwa salama, tuwangalieni JPM, Samia, Majaliwa,.... Hayo machnugu mengine ya huko nyuma tukiendelea kuyakumbuka yatatuchanganya tu!Kwa awamu ya Tatu, naweza kusema ile ni Economic sabotage ila siyo ya moja kwa moja, Kwa sababu jamaa alionekana kama kutumia Approach ya ubinafsishaji ili kutoka mahali tulipo (hayo ni mawazo yangu yaweza yasiwe sahihi)
But: Kuna uzi humu unaitwa Utata kifo cha Dr. omari something like that, utaelewa hata kupitia Usalama Bwana Mchonga alijutia maamuzi yake ya kuruhusu Bwana wa awamu ya 3 aingie, maana alianza kufanya vitu ndivyo sivyo.
.
Je, yale ambayo walishawahi kuzuia tangu waanze kazi, yote unayajua?Mbona hawakuzuia wizi wa tembo,vifaru mpaka wameisha kabisa......makinikia tumeibiwa miaka 20 walikuwa wapi hawa TISS..... Kura zinaibwa huko ZEC na NEC,miswada mibovu bungeni ila bado watu mnawapa credit hao TISS wakati sioni la maana wanalolifanya kwenye ngazi ya kitaifa labda mngesema kusaka petty criminals ila wale moguls sioni hata wakibanwa na TISS ingawa ni mafia wa miaka mingi
TISS is overrated
Yeah nayajua walizuia chaguo la wananchi lowassa asiingie ikulu 2015, wamezuia wazalendo waliopinga mikataba mibovu ya madini kama kina lisu kwa mtutu,wamezuia kupinduliwa madikteta makatili kma nkuruzinza na kabila. Insanity!!! Kama TISS ingekuwa serious hata magufuli wala CCM isingekuwa inatawala leo hii.Je, yale ambayo walishawahi kuzuia tangu waanze kazi, yote unayajua?
Mzaha mzaha kwenye issue za msingi zitapelekea uwe na mzaha katika mambo yako yote maisha yako yote,..., keep it up!Yeah nayajua walizuia chaguo la wananchi lowassa asiingie ikulu 2015, wamezuia wazalendo waliopinga mikataba mibovu ya madini kama kina lisu kwa mtutu,wamezuia kupinduliwa madikteta makatili kma nkuruzinza na kabila. Insanity!!! Kama TISS ingekuwa serious hata magufuli wala CCM isingekuwa inatawala leo hii.
Hahaha hahahaha aiseeYeah nayajua walizuia chaguo la wananchi lowassa asiingie ikulu 2015, wamezuia wazalendo waliopinga mikataba mibovu ya madini kama kina lisu kwa mtutu,wamezuia kupinduliwa madikteta makatili kma nkuruzinza na kabila. Insanity!!! Kama TISS ingekuwa serious hata magufuli wala CCM isingekuwa inatawala leo hii.
Nimoja ya tafasiri ya DABILYU MBILIHawa jamaa ni kweli wanapenda sana chini.
Mzaha gani sasa kipi hapo ambacho TISS hawajazuia?? Kwani uongo hawakuzuia kupinduliwa kwa nkuruzinza?? Kwani uongo hawakuhusika na kuzuia safari ya lowassa kuelekea ikulu?? Upi ni mzaha hapo embu nitajie??Mzaha mzaha kwenye issue za msingi zitapelekea uwe na mzaha katika mambo yako yote maisha yako yote,..., keep it up!