Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Sasa kama alikuwa NIDA kivipi alishindwa kuzuia ufisadi uliotokea pale??? Ifike mahala hawa TISS wapewe nguvu kisheria haya mambo ya kushauri shauri tu hayatufikishi popote ndio maana unajiuliza kipindi cha ufisadi wa ESCROW huyo MK alikuwa BOT ila hakuzuia lolote zaidi ya kutoa macho tu Tanzania ikiibiwa Billion 320+ sasa kuna faida gani ya kuwajaza kwenye hizi taasisi kama hawana impact yeyote?? Huko NEC mbona hawazuii wizi wa kura..... Vipi bungeni mbona sioni wakizuia miswada mibovu inayoweza kuweka usalama wa taifa kwenye rehani???

Hapo tu ndio huwa sielewi sheria zetu zimekaaje
Tatizo kubwa taasisi zetu hazipo huru, bila kuwa taasisi huru ni kutwanga maji kwenye kinu
 
Uposahihi Mkuu.
Nakumbuka Mwaka 2009 Nikiwa Mzumbe Sekondari Niliwahi Kufuatwa Usiku Wa Saa Tisa Nikiwa Darasani Kwenye Corner Peke Yangu Utulivu Mkubwa Na Sauti Za Milio Ya Wadudu Ikisika Baridi Ilikuwa Kali Nilisahau Kuja Na Sweater Ama Shuka. Mkononi Nilikuwa Nimeshikilia Kitabu Cha " The Da Vinc Code" By Dan Brown Nikiwa Natetema Kutokana Na Baridi Pia Kitabu Kilikuwa Kinatisha Baadhi Ya Sehemu. Wakati Nipo Deep Kwenye Kitabu Kama Mtu Anapokuwa Captivated Kwenye Movie Nikahisi Uwepo Wa Kitu Kwa Upande Wa Dirishani Hii Ni Moja Ya Gift Niliyopewa "Active Instincts" or Intuition" Nikajifanya Sijaona Chochote Ili Kuondoa Attention Ya Kitu Kilichopo Dirishani. Kwa Mara Ya Pili Nikahisi Hali Hii Nikajaribu Kudirect Macho Nione Aisee Nilipigwa Powerful Flash Light Ya Ajabu Mpaka Nikajiona Half- blind Nikatupa Kitabu Nitoke Nje Kumbe Kile Kitu Kilikuja Mbio Mpaka Mlangoni. Alikuwa Mtu Mrefu, Mweusi, Amevaa Spy coat Yenye Hood Na Miwani Nyeusi Aina Ya SPECTACLES. Tulibaki Kama Dakika Mbili Tunaangaliana Bila Kusema Kitu Mwishoni Akaniambia Kuna Kitu Nimepewa Ni Confidential Wakati Huo Akaingiza Mkono Wake Ndani Ya Koti Lake Upande Wa Kifuani Akitoa Bahasha Ya Brown Kabla Hajanipa Aliniambia Ikibainika Nimejaribu Kusema Ama Kuonesha Kilichomo Ndani Nisahau Wazazi Wangu Sikuonesha Kushutushwa Kwani Nimeyaona Sana Haya Mambo Vitabuni. Akanipa Ishara Anaondoka. Nikaiweka Bahasha Kwenye Novel Yangu Nikarudi Bweni La Mkwawa. Nikwaza Moyoni Sitaisoma Mpaka Kesho Tena Nitakwenda Mbali Kabisa Na Eneo La Shule. Ilipofika Ijumaa Jioni Nikaenda Sehemu Inaitwa "Kilima Hewa" Sehemu Ya Nje Ya Mzumbe University. Kwa Bahati Nzuri Nikakuta Hamna Mtu Kabisa Nikashuka Mpaka Chini Ya Mlima, Nikaangalia Kushoto Na Kulia Hakukuwa Na Object Of Attention. Nikaingiza Mkono Mpaka Ndani Ya Bukta Ambako Niliifadhi Kwenye Mfuko Wa Rambo. Taraatibu Nikaanza Kuifungua Ile Bahasha N ilipigwa Butwaa Baada Ya Kuona Maandishi Ya Ajabu Ambayo Yamepangwa Ajabu Kwa Wino Mweus.i Zikakata Kama Dakika Kumi Nikiangalia Jinsi Gani Ningeweza Kupata Maana Ya Ujumbe Nilioupata Kwa Njia Ya Kusisimua. Nikakumbuka Wakati Naisoma Novel Ya Dan Brown " The Da Vinc Code" Kuna Kitu Kinaitwa "Ambigram" Na "Anagram" ( Watu Wa Symbiology Mnaelewa) Techniques Ambazo Zilitumika Miaka Ya Nyuma Kufanya Ujumbe Uwe Wa Siri Na Ikitokea Mtu Asiyehusika Akaupata Asiweze Kuelewa. Hapo Nikafanya Transfer Of Knowledge Kwa Kutumia Ambigram Ambapo Maandishi Huandikwa Kinyume Na Ili Uweze Kuelewa Ni Mpaka Utumie Kioo ( Watu Wa Reflection Of Light Mnaelewa) Ama Uishikile Karatasi Juu Kama Unaangalia Jua Hapa Unaweza Kusoma Clerarly. Nilivyo Maliza Kusoma Yale Maandashi Sikuamini Nilijuta Kwanini Nimekuwa Mtumwa Wa Novel. Inshort Nilipewa Kitu Kinaitwa " Black Bag Job" ( Watu Wa Intelligence Mnaelewa) Kilichoendelea I was Once In A While " Birdwatcher" Kwa Leo Naomba Niishie Hapo. Ila Mkuu Novels Ni Slaa Maalumu Kwa Watu Wa Usalama Kuna Mzee Ni Mstaafu Rafiki Yangu Tumejauana Kutokana Na Novels. Sijui Kwa Vijana Wa Siku Hizi Kama Wana Hobby Na Hii Kitu Kama Zamani.
Duh!
 
Sasa kama alikuwa NIDA kivipi alishindwa kuzuia ufisadi uliotokea pale??? Ifike mahala hawa TISS wapewe nguvu kisheria haya mambo ya kushauri shauri tu hayatufikishi popote ndio maana unajiuliza kipindi cha ufisadi wa ESCROW huyo MK alikuwa BOT ila hakuzuia lolote zaidi ya kutoa macho tu Tanzania ikiibiwa Billion 320+ sasa kuna faida gani ya kuwajaza kwenye hizi taasisi kama hawana impact yeyote?? Huko NEC mbona hawazuii wizi wa kura..... Vipi bungeni mbona sioni wakizuia miswada mibovu inayoweza kuweka usalama wa taifa kwenye rehani???

Hapo tu ndio huwa sielewi sheria zetu zimekaaje
Tatizo ni kuwa sheria inawapa mamlaka ya kushauri na sponsor ndie anaeamua. Ndio maana wadau kama akina Yerriko wanashauri mabadiliko ya sheria ilioanzisha idara hii ili waongezewe majukumu kama ujasusi wa kiuchumi pia waweze kuact na sio kuishia kushauri tu
 
Jeshi ndio kazi nzuri kabisa sbb unaingia moja kwa moja kupigania nchi inapobidi, na pia kawaida ya jeshi halina umbea umbea,,,
Kweli mkuu JWTZ ndo mzalendo halisi, ana deal na maadui halisi wa nchi....hawawatafuti chadema Wala Act.....
 
Mchango wako unaonyesha kuwa at least kila mmoja aliumbwa akiwa anapenda kufanya kilicho kizuri, na kwa mantiki hiyo inapotokea watu wamefanya vile ambavyo ni vibaya, inakuwa ni nje ya matarajio yao.. Looks like kila mtu anapenda kufanya kazi ya usalama, wakati sijawahi kusikia kuwa ndiyo kazi inayoongoza kwa maslahi mazuri.Inaweza kuwa ina maslahi mazuri ndiyo lakini sina uhakika kama nii kazi inayoongoza kwa maslahi mazuri. Kwa hiyo watu wanaoitamani hasa inakuwa si kwa ajili ya maslahi, isipokuwa ni nature ya kazi yenyewe wanaipenda. Nadhani zaidi ya asilimia 90 ya watu watakuwa wanapenda kazi hii. Neno INTELLIGENCE/USALAMA, ndiyo kivutio hasa, na si maslahi ya kazi,..., au ninakosea? Everybody would love to be regarded as INTELLIGENT.

Ni kama mtoto mdogo anapokuwa ansoma shule ya Msingi, anapopata alama nzuri huwa anafurahi sana si kwa sababu anataka kuja kupata kazi nzuri huko baadaye hapana. Ni kwa sababau alama nzuri ni nzruri kwake, basi!
Sijui unatumia kinywaji gani?
 
Wengi wanaishia kwenye Pombe na Umalaya tu.Kuna kipindi nilikua na wakuu wakitengo maeneo flani walinchukua tukatembee nipate kujua maeneo kidogo ila cha kushangaza walipiga bia kama 19 kila MTU ila mmoja alizidiwa na kuanza kuropoka mission zao na majukumu waliyoyakamilisha Nilijifanya siwaelewi ila mmoja akabadili story kwa staili yaaina yake by that time nilikua napata soft drinks na kiepe changu.Mpaka sasa mmoja ananitaftaga sana kunifanya niwe karibu
Anakutafta akumalize
 
Mkuu wanakaa uko kwenye nyumba za ibada mpaka wanasahau familia Mwaka Jana kuna mmoja aliachana na wife wake kisa ubize Wa kazi jamaa alikua na semina za dini 24/7 mwishowe wakammegea wahuni.

Alafu ni watu Wa visasi saana kwa sasa naona anatumia mbinu mbadala kuhakikisha anammaliza jamaa aliyemlia wife wake hata safari zimepungua sana za huko Dar es salaam.Lazima amuwinde tu kwa mazingira yoyote Yale
Kamegewa kitumbua chake[emoji1] [emoji1] [emoji1] anaweza kulinda system anashindwaje kulinda kitumbua chake nyumbani
 
Kwa lugha nyepesi kabisa, hii kazi haina tofauti na chama cha kishirikina, ni marufuku kutoka na ukitoka ufe, ni kawaida kutoa sadaka hata ya ndugu na watoto wako mwenyewe. Ubakuwa na masiri mengi ya kutisha ambayo huruhusiwi kuyatoa nje.
 
Wengi wanaishia kwenye Pombe na Umalaya tu.Kuna kipindi nilikua na wakuu wakitengo maeneo flani walinchukua tukatembee nipate kujua maeneo kidogo ila cha kushangaza walipiga bia kama 19 kila MTU ila mmoja alizidiwa na kuanza kuropoka mission zao na majukumu waliyoyakamilisha Nilijifanya siwaelewi ila mmoja akabadili story kwa staili yaaina yake by that time nilikua napata soft drinks na kiepe changu.Mpaka sasa mmoja ananitaftaga sana kunifanya niwe karibu
Tayari upo katika hatari kubwa kwa kujua siri zao, maana unaweza zitoa kama ulivyofanya hapa.
 
Wengi wanaishia kwenye Pombe na Umalaya tu.Kuna kipindi nilikua na wakuu wakitengo maeneo flani walinchukua tukatembee nipate kujua maeneo kidogo ila cha kushangaza walipiga bia kama 19 kila MTU ila mmoja alizidiwa na kuanza kuropoka mission zao na majukumu waliyoyakamilisha Nilijifanya siwaelewi ila mmoja akabadili story kwa staili yaaina yake by that time nilikua napata soft drinks na kiepe changu.Mpaka sasa mmoja ananitaftaga sana kunifanya niwe karibu
Upo katika hatari kubwa, pole sana.
 
mimi napendekeza badala ya kununua bombadia tuu ,tununue na ndege moja ya kisasa ya kijeshi kama vile F-16
Unajua bei yake mkuu ? .tutatembea uchi .alafu ndege kuna kupata hitirafu mfano ndege kuingia kwenye engine then ilipuke .sasa msiba wake si utakua wa kitaifa ?
 
Back
Top Bottom