Kocha Benchikha anatumia akili kubwa sana kuwaambia kamati ya usajili Simba sc kuwa usajili wa Jobe &Fredy hakuna kitu

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,306
12,803
Siyo Siri Tena usajili wa Jobe &Fred huu ni usajili wa mtu kati (wazee wa 10%) na siyo maagizo/mahitaji/matakwa ya kocha Bali ni wachezaji wa kikundi Cha viongozi pale Simba sc.

Alichokifanya kocha Benchikha kwenye mchezo wa Simba sc vs Al ahly ni kuwaweka benchi wachezaji Kisha kuanza na Saidoo ntibazonkiza kucheza Kama namba 9 kivuli.

Huu ni ujumbe kwa Boss wa Simba sc kuwa Hawaendani (hawafai ) kwenye mfumo wa BENCHIKA

Maoni Yangu: ili timu zetu zipige hatua kwenda fainali mpaka kuchukua kombe la klabu bingwa inabidi ziache JANJA JANJA kocha apewe uhuru afanye selective ya wachezaji anaowataka.
 
1000045110.jpg
 
Kuwaondoa job na fredy ni kuwaonea.Wakuondolewa hapo ni aliyemleta au kuwaleta.Kwa mbinu hiyo hiyo watakuwa wameleta magarasa mengi sana Simba.Na hao hao ndiyo waliomleta chikwende.
 
Ningekua kiongozi pale simba dirisha dogo ningewachukua
Elvis rupia, marouf tchakei, jackson kagoma, bruno gomez, yanick bangala na nikamrudisha babu onyango halafu ningewatoa
Aubin kramo, luis miquisonne, essomba onana, sadio kanoute na saidoo ntibanzokiza

Trust me CAF tusingepigwa nje ndani, FA tusingetolewa na ubingwa tungeendelea kuufukuzia
 
Siyo Siri Tena usajili wa Jobe &Fred huu ni usajili wa mtu kati (wazee wa 10%) na siyo maagizo/mahitaji/matakwa ya kocha Bali ni wachezaji wa kikundi Cha viongozi pale Simba sc.

Alichokifanya kocha Benchikha kwenye mchezo wa Simba sc vs Al ahly ni kuwaweka benchi wachezaji Kisha kuanza na Saidoo ntibazonkiza kucheza Kama namba 9 kivuli.

Huu ni ujumbe kwa Boss wa Simba sc kuwa Hawaendani (hawafai ) kwenye mfumo wa BENCHIKA

Maoni Yangu: ili timu zetu zipige hatua kwenda fainali mpaka kuchukua kombe la klabu bingwa inabidi ziache JANJA JANJA kocha apewe uhuru afanye selective ya wachezaji anaowataka.
Kutwa kuchwa unahangaika na simba tu
 
Back
Top Bottom