Uonevu wa Trafic Police Tanzania

Uonevu wa Trafic Police Tanzania

1473658252252.jpg

stemcell samahani kwa kuigeuza hiyo Notification ya dereva wetu aliyopigwa pale Moshi Technical njia ya Arusha Moshi
kuna swali ameuliza member kuwa awe anatembea chini ya 49
ni kweli lakini hautafika uendako kwani kuna mahali lazima uOvertake ni lazima uvuje hiyo speed limit ndipo ukae sawa huwezi overtake mlorry kwa speed ya 40kmph ni ajali
Mara nyingi ukiwabana wanakwambia changia kosa moja lililo la maana maana huyko nyuma ya karatasi kuna mpaka indicator au kutofunga mkanda
Kilichopo ni kuwa mahali popote kwenye watu, kijiji, Mji au kuvuko bila ya alama yoyote ni 50kmph
mahali popote kwenye kona ya kushoto ambako huoni na kuna mstari usiokata kata jwenye lami ni marufuku kuovertake
huu uchangiaji wa 30,000 kiukweli unaumiza km hujajuandaa
pia Mada hii ya alama zipo kwenye Mada ya Mshana jr kule Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali
 
Kwa mnaojua sheria..., wanasema speed iikiwa zadi ya 57 ndio unatikiwa kulipa faini. Naomba kujua kama ni kweli!!
Kwa mujibu Wa Road Traffic Act ya Mwaka 1979 hakuna kifungu kinachosema hivyo mkuu
 
Umeeleweka. Ila hapo kwenye ERV ni tatizo ambalo huwa linaleta mtafaruku mkubwa sana kati ya nyie askari na dereva. Serikali inahimiza kudai na kutoa risiti, hili somo linazidi kueleweka kwa wananchi wengi. Ajabu nyie mnaoiwakilisha serikali yenyewe moja kwa moja hamtoi risiti!! Aibu sana.
Kwa hiyo mtu akifafanua jambo kwa kadri anavyolielewa anakuwa askari? Haya, ipo siku ntakuwa
 
Leo nikiwa natoka Arusha kwenda moshi dereva aliyekuwa akiendesha gari letu alipigwa faini kwa kuendesha spidi 56 mahala pa Spidi 50. Nilimuonea huruma kwa sababu hamna gari inayoonyesha spidi hamsini aidha 40 na 60 hivyo inabidi dreva aangalie mshale ukae kati.

Sasa swali, dereva ataangalia mbele au mshale ubalance? Abiria pia tulivyosikia dreva akibishana na trafiki tuliona ni kweli gari lake haina mahala panapoonyesha spidi 50 ila 40 na 60.

Uonevu kama huu ndiyo inafanya watu wachukie Jeshi la Polisi.

View attachment 398063
Serekali iliangalie hili suala.Pamoja na kuwa sijafanya tafiti lakini kwa observation tu ajali imepungua kutokana na zoezihili la traffic police kushika wavunja shereia. Lakini nakiri kwa sasa imepita kiwango. Nakumbuka kun siku nulisikiliza kipindi cha Usalama barabarani na kujifunza kuwa sio kila kosa ni la kulipa fine mengine ni ya kuelekezwa tu na unatakiwa ufix tatizo nadni ya muda Fulani. Mfano km. indicator imeharibika inawezekana hata dereva hafahamu so hupewa muda kurekebisha lakini sasa hivi traffic police wanaandikia fine 30,000. kila kosa hata la kuelekeza tu. Kwa siku mtu anaweza andikiwa fine ya 90,000. sasa kama ni Taxi Driver ameajiriwa na anatakiwa apelike hesabu kweli biashara itawezekana. Tnafahamu nia ni nzuri lakini jeshi lichunguze ili kubaini zile fine a maonevu!
 
Leo nikiwa natoka Arusha kwenda moshi dereva aliyekuwa akiendesha gari letu alipigwa faini kwa kuendesha spidi 56 mahala pa Spidi 50. Nilimuonea huruma kwa sababu hamna gari inayoonyesha spidi hamsini aidha 40 na 60 hivyo inabidi dreva aangalie mshale ukae kati.

Sasa swali, dereva ataangalia mbele au mshale ubalance? Abiria pia tulivyosikia dreva akibishana na trafiki tuliona ni kweli gari lake haina mahala panapoonyesha spidi 50 ila 40 na 60.

Uonevu kama huu ndiyo inafanya watu wachukie Jeshi la Polisi.

View attachment 398063
Unafikiri hadi traffic anakuona uko 56..means u were above 56 na hapo tayari ushaanza kuslow down baada ya kumuona..Drive safely zaidi ya 50% za ajali barabarani ni fault za kibinaadam.
 
Haa Sasa Morogoro Ukitokea Msamvu Hadi Raha Walivyojipanga Kuchukua 5000/- Ya Kiwi Iliyohalarishwa Na Sizonje

Gari Halina Kosa Lazima Utoe
Nanenane Wapo
Junior Seminary
Kingolwira Wapo
Mkambalani Wapo

Hii Ni Bhalaa Jingine Nchi Hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom