Uonevu wa Trafic Police Tanzania

Uonevu wa Trafic Police Tanzania

Lakini kweli si utu kabisa kumlipisha mtu kwa speed iliyozidi 7 tu? Hata kama tunakusanya kodi sio kwa hali hiyo !! Hawa wanaojiita walinda amani kweli hawakumtendea haki ilihitajika hata onyo tu la mdomo ingetosha na mahusiano yangeendelea kuwa mazuri na polis lakini kwa hali hii mmh !!
Mi nadhani kuna haja ya polis wetu wawe na kozi za mara kwa mara kuhusu ulinzi , amani na mahusiano ya raia wema ! Wakishatoka CCP tu basi wanaoendelea na masomo ni wachache ! mtu anajiona yeye ndo Mungu mtu anakuhukumu anavyotaka !
Spidi hata ikizidi 1 mkuu ni kosa,ukumbuke dereva anaongozwa na Alama za barabarani sasa hayo kuwa imezidi 7 tu ni yako!ukiukwaji wa alama za barabarani ni kosa kisheria
 
7 unaiona ndogo kuitamka na kuiandika lkn ikiwa kwenye mwendo una madhara yake. Camera zile zinapiga picha automatic kwani zimesetiwa 40 ambayo ni ya kibao na 50 ya grace. Hivyo ukiendesha kwa 51 tayari umezidi.

Halafu, kwa nini tunamtetea dereva badala ya kumulaani kwa kutokuwa na nidhamu barabarani?
 
tambua kuwa pesa inayokusanywa haiingii kwa jeshi la polisi kama unavyoamini.
Hakuna mahali nimesema naamini pesa hio inaingia mifukoni mwa jeshi la polisi, sijawahi kuvunja sheria , so nadhani you were replying bila kuosma na kuelewa nilichokua nimekiandika, ok asante
 
Uliyopewa no police notification siyo risti . Unatakiwa upewe receipts za serikali ERV au receipts ya EFD. Kwa hiyo uliyopewa so lazima pesa ifike kunakohusika . Serikali iangalia hapo inaibiwa. Vitabu vya notifications vinatengenezwa stationary tu.
 
7 unaiona ndogo kuitamka na kuiandika lkn ikiwa kwenye mwendo una madhara yake. Camera zile zinapiga picha automatic kwani zimesetiwa 40 ambayo ni ya kibao na 50 ya grace. Hivyo ukiendesha kwa 51 tayari umezidi.

Halafu, kwa nini tunamtetea dereva badala ya kumulaani kwa kutokuwa na nidhamu barabarani?
Hiyo 50 unaionaje kwenye speed meter?meter inasoma 40 halafu 60 unabalance katikati ambapo hamna namba kwenye speed meter.
 
Ni
Spidi hata ikizidi 1 mkuu ni kosa,ukumbuke dereva anaongozwa na Alama za barabarani sasa hayo kuwa imezidi 7 tu ni yako!ukiukwaji wa alama za barabarani ni kosa kisheria
Tafuta gari itakayo kuonyesha kwenye spidi meter hiyo moja unayosema.
 
7 unaiona ndogo kuitamka na kuiandika lkn ikiwa kwenye mwendo una madhara yake. Camera zile zinapiga picha automatic kwani zimesetiwa 40 ambayo ni ya kibao na 50 ya grace. Hivyo ukiendesha kwa 51 tayari umezidi.

Halafu, kwa nini tunamtetea dereva badala ya kumulaani kwa kutokuwa na nidhamu barabarani?
Vibao vingi hasa highways vinaonyesha 50 isipokuwa mijini ambapo unaweza kuta hata cha 30. Hiyo kusetiwa 40 inakuwaje,na inapima speed ipi?
 
Leo nikiwa natoka Arusha kwenda moshi dereva aliyekuwa akiendesha gari letu alipigwa faini kwa kuendesha spidi 56 mahala pa Spidi 50. Nilimuonea huruma kwa sababu hamna gari inayoonyesha spidi hamsini aidha 40 na 60 hivyo inabidi dreva aangalie mshale ukae kati.

Sasa swali, dereva ataangalia mbele au mshale ubalance? Abiria pia tulivyosikia dreva akibishana na trafiki tuliona ni kweli gari lake haina mahala panapoonyesha spidi 50 ila 40 na 60.

Uonevu kama huu ndiyo inafanya watu wachukie Jeshi la Polisi.

View attachment 398063

hawa askari ni wapmbavu, Arusha kila trafic Police ana notification book hata usiku, wamekua wakusanya mapato , naamini ikichunguzwa hii tutasamehe ya Lugumi. Imagine 30,000 per page x No pages per book x No askari kwa mkoa x No days 3 manake lazima kiishe haraka. tungekua tuna lipia kwa mpesa etc wangekua na akili
 
Sijajua kama hizi alama za spidi maana yake huwa nini? kama kumfanya dereva alimiliki gari vizuri kwa kuepusha hatari wengine watumia barabara na gari lenyewe. it is nonsense to charge the driver. Kwa kuwa tunakusanya mapato acha tulipe.
 
Kwa mnaojua sheria..., wanasema speed iikiwa zadi ya 57 ndio unatikiwa kulipa faini. Naomba kujua kama ni kweli!!
Inatakiwa usizidi 55 kwenye kibao cha 50. Wameweka +5 kwa ajili ya 'SPEED TOLERANCE' ikizidi hapo lazima ulipe faini.
 
Polisi Traffic wote Wa Tanzania nawapongeza sana kwa kusaidia kupunguza ajali msitishike fanyeni kazi zenu kwa sheria na kanuni zinazowaelekeza poleni kwa kazi ngumu sana
Wewe lumbumba wa buku 7 ambaye hujui ni lini utamiliki hata pikipiki unafikiri utaona uzito wa hilo jambo?
 
Tulipokuwa tukifundishwa kutumia four figure mathematical table hawakuwahi kuelewa ina maanisha nini au itakua applied wapi. Pia tuliposoma hesabu za desimali hawakuelewa pia kwamba application yake itajua wapi.
Waliishia kukariri tu kwa ajili ya kujibia mitihani.
 
inawabidi wafanye hivyo ili kufikia malengo waliyowekewa ya ukusanyaji mapato.
 
Tulipokuwa tukifundishwa kutumia four figure mathematical table hawakuwahi kuelewa ina maanisha nini au itakua applied wapi. Pia tuliposoma hesabu za desimali hawakuelewa pia kwamba application yake itajua wapi.
Waliishia kukariri tu kwa ajili ya kujibia mitihani.
Mtaani log=gogo

Sio logarithm.
 
Hivi hiyo formu mbona kuna sehemu kajaza askari badala ya aliyekamatwa...!...Hiyo ndiyo saini ya Juma kweli!?
==========
Kuwa kwenye nafasi salama, huku akijua gari lake halionyeshi speed 50, alitakiwa aendeshe kwenye speed arobaini. Hiyo kesi mahakamani lazima askari ashinde!
 
7 unaiona ndogo kuitamka na kuiandika lkn ikiwa kwenye mwendo una madhara yake. Camera zile zinapiga picha automatic kwani zimesetiwa 40 ambayo ni ya kibao na 50 ya grace. Hivyo ukiendesha kwa 51 tayari umezidi.

Halafu, kwa nini tunamtetea dereva badala ya kumulaani kwa kutokuwa na nidhamu barabarani?

Unaingiza watu chaka!
Kamera sio automatic kwa tz! Askari ndo anayeamua kupima kwa kamera!
Speed limits za sehemu nyingi Tanzania ni 50kph na sehemu chache 30kph!

Sheria inataka usivuke 50kph, ikizidi hapo ni busara ya askari tu!
Kuna nchi faini zao zinaendana kiasi ulichozidisha. Kwa mfano ukizidi kwa 1 hadi 10, faini 5,000; ila ukizidi kwa 40 faini 30,000!
Huku tuna mapungufu ya adhabu ya mtu anayezidi kwa kuendesha 55kph kupewa adhabu sawa na aliyeendesha 100kph.
 
sawa gari haionyeshi hvyo lakin kibao kimesema 50 kuepusha shari bora angetembea kwenye 40 maana tunajua maswala ya barabarn yalivyo ni bora nusu shari kuliko shari kamili ila polen.
Angeweza kupigwa fine kwa kwenda chini ya speed elekezi. Traffic wa kibongo hakosi sababu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom