Uoga wa Serikali/CCM


Ni kweli serikali inaogopa ndio maana majuha kama wewe mpo hapa kuitetea. Mimi binafsi thread zangu hapa zimeshafutwa mara nyingi na hazikuwa na 'uchochezi' wowote ila ni mambo halisi yanayotokea.
 
Wameambiwa kuwa wataenda kusimulia kitu watakachokipata. Wameahidiwa mkong'oto wa maana tu.
 
We mshamba maisha yameshakushinda ya kutawaza vizee USA sasa umeamuwa kulamba makalio ya watawala ukidhani utapewa shavu, fala sana wewe.

Tumia nguvu hii kuhamasisha wasukuma wenzako wajifunze ustaarabu rahisi tu wa kujenga vyoo badala ya kuendelea kunya ziwani na kuchambia maji ya ziwani.

Wewe kufikia mwisho wa mwaka huu kama hawajakukumbuka badi sishangai nikisikia umeolewa kummah wewe.
 
Tanzania hakuna anayeweza kuandamana akiona wanajeshi wanafanya usafi pale lugalo barracks nani ataweza andamana

Mbwembwe za watu hapa Bongo ukipiga risasi hewani mchana Posta hakuna atakayebaki ofsini wote ni mbio kuelekea majumbani
Subiri tarehe 26 siyo mbali. Wewe na wasukuma wenzako ndio mtajuwa nchi hii ni ya umma na siyo ya wasukuma.
 
wenzako wakina kiranga wako busy kwenye forum za wazungu wewe umejikita kwenye taarabu kama mume wako
Sasa huyu malaya kwenye forum za wazungu atachangia nini? Au haujui hata mataahira UK wana uwezo wa kuandika kingereza fasaha?
 
kiukweli sijaona mtu wa kuandamana kwa ajili ya mange kasema! alafu hayo maandamano yatakuwa dar tu?? maana huku mkoani nilipo hata watu hawana habari
Mm habari ninayo.. na nitakuwepo mkuu usihofu.
 
Nimemsikilizaa Mwigulu na naona Sasa wananza kuelewa kuwa haya maandamano sio ya chadema au cuf au act au wafuasi wa Hashim Rungwe
Haya ni maandamano ya watanzania wakiwamo ccm ndio maana mwigulu kachagua kuwaita “maandamano yanayoandaliwa na wapinzania wako wa kisiasa “

Na Kama kawaida anakuja na majibu mepesi kuwa waandamanaji wamepanga kufyatua risasi eti wataandamana na AK 47

Huenda wao ndio wana Mpango wa kuwapenyeza Askari kanzu na silaha
 
Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...
 

pointless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…