Uoga wa Serikali/CCM

Ndio maana tutawalinda waandamane tu wapumue?!. Kwani kuna sehem kwenye katiba inasema watu wakiandamana tu, lazima raisi anaondoka madarakani?
 
Wanapenda sana kujipa faraja za kufikirika!
Nakumbuka magufuli alisema hafuatilii habari za mitandaoni na wala hawezi kuzijibu....So kipi kimebadilika mpk anamjibu Mange....maani ni habari za mitandaoni tu hizo.
 
Hivi wakiwaacha waandamane na kuwapa ulinzi kuona wanaelekea wapi na wanamaliza maandamano kwa amani kuna tatizo? I think tunatumia nguvu nyingi kuwazuia kuliko kuwaacha
Ha ha ha hawawwzi kujaribu hiki kitu. Hawana uhakika itakuwaje plus utashangaa nchi nzima inaingia road. So ile zana kuwa ninapendwa itapotea....na si wajua anavyopenda sifa
 
Hao ccm wamshaanza kujuta na wanasaga meno. Na hii movement ya 26 sidhani ni ya Mange peke yake hii ni movement within gvt officials wakishirikiana na huyo dada (mawazo yangu tu) na ndio maana vigogo wamepaniki maana hawajui nani wakumuamini.....hawako sure kama kweli jeshi litakubali kupiga raia thats why ndio maana wanahangaika na vitisho kama wangekuwa na uhakika wa 100% kuwa jeshi litaua na kumwaga vichwa vya watu ubongo then wala hasingeongelea lolote. Kama amabvyo anajua polisi hawawezi kumkamata aliyempiga risasi Lisu ndio maana wala hana time na habari za lisu.
 
Nakumbuka magufuli alisema hafuatilii habari za mitandaoni na wala hawezi kuzijibu....So kipi kimebadilika mpk anamjibu Mange....maani ni habari za mitandaoni tu hizo.

Lini Magu kamjibu huyo majinuni?
 
Tukianzisha “April 26 Maandamano Bet” itapendeza! ...Kuna watu kwenye majukwaa ya social media wako more emotional than rational.
 
Uchochezi mkuu
 
Hayo ni maandamano ya kwenye mitandao ya kijamii ila ukweli hakuna kitu kama hicho. Time will tell. Nakumbuka siku ile pale kinondoni mkuu wa maandamano alitoweka kama kivuli.
 
Wanasaka kiki kwa kuwa kiki zote dhidi ya Magufuli zimebuma.
Wakuu mna nyeo gani pale lumumba? Hasa wewe Ngedere utakuwa unafukuzia nafasi ya Slowslow bila shaka!
 
Kanda pendwa mmeamua kujitoa ufahamu!Naona wewe na Bashite mbapigania bwana mmoja tena mrundi!
 
Kama wanaume wazima waliwaogopa Panya road seuze polisi wa Magufuli?

Ahahahahaaa.
Kuna mwanasheria mmoja wa Kenya, nchi inayoongozwa na raisi mwenye akili kasema huyo mmeo Pogba anafaa kuwa nyapara wa kijiji!
 
Kwa mjinga huenda kilio. mtu anaye hamasisha maandamano yuko masaa kumi nyuma wakati wahanga wa ujinga wamecharazwa bakora, yeye ndiyo anaamka, ujinga kutaka.
 
Kasome ulicho andika mwenyewe July 18,2017!
Your u-turn about Magufuli inamshangaza kila mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…