Watasema kuna miradi wameanzisha tuwape muda wakamilishe ili tuwe donor country rasmi by 2025.Hawajawahi kukosa slogans za kuwahadaa Wananchi, wakiona mnazingua Wananchi apua sanduku LA kura halafu wanajitangaza kushinda kwa kishindo.Kweli siku hazigandi 2020 hii hapa hakuna cha maendeleo wala nini zaidi ya raia kunung'unika tu hali mbaya mifukoni sasa sijui watakuja na ajenda gani tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado najiuliza mwenyewe ile/hii nguvu kubwa ya kusajili line kwa alama za vidole ni ya nini? Kuna under 18 amesajiliwa line na alisema miala yake halisi? Baadhi walikataliwa, je kwanini people wanye umri usioruhusiwa kisheria kupiga kura wazuiwe? Nawaza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado najiuliza mwenyewe ile/hii nguvu kubwa ya kusajili line kwa alama za vidole ni ya nini? Kuna under 18 amesajiliwa line na alisema miala yake halisi? Baadhi walikataliwa, je kwanini people wanye umri usioruhusiwa kisheria kupiga kura wazuiwe? Nawaza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Viwanda vinajijenga vyenyewe as a product of huge production of raw materials.Hivi walivyokuwa wanahubiri kina Mwijage vilikuwa day dreams viwanda.Usiwaamini hawa watu,wasemacho siyo halisi ni propaganda tu.serikali ya viwanda..viwanda vimebaki kuwa imagination tu....vimebaki kwenye makaratasi
Endelea kupanua magoliKwahio nyie Sera na katiba ya chama mnatungia kwenye mikutano? Wonders shall never end
Kwani siasa ni kampeni ? kampeni ni sehemu ndogo mno ya siasa , endeleeni kumpaka mafuta ila siku akiwekwa goligota msimlaumu mtuAlisema Siasa zifanyike wakati wa kampeni. Kwahiyo 2020 ni mpaka tume itakapotangaza muda wa kampeni. Sio tu ikiingia 2020.
Kuweni na subira. Kampeni bado.
Hata Biblia imesema waoga na wasio amini hawaingii MbinguniHakuna kitu kibaya duniani kama woga!
Yeye kakataza siasa za kampeni. Unatoka jimbo A kwenda kupiga domo jimbo B. Jimboni kwako utafanya kazi saa ngapi?Kwani siasa ni kampeni ? kampeni ni sehemu ndogo mno ya siasa , endeleeni kumpaka mafuta ila siku akiwekwa goligota msimlaumu mtu
Katiba ya Tanzania haijaandika kama huu ujinga uliotuwekea hapa , nyie endeleeni kuisigina katiba ya nchi , malipo yenu yanakujaYeye kakataza siasa za kampeni. Unatoka jimbo A kwenda kupiga domo jimbo B. Jimboni kwako utafanya kazi saa ngapi?
Siasa nyingine zinafanyika mbona na tunaziona? Wanasiasa wamekutana na kuweka maazimio mara ngapi? Press zinafanyika mara ngapi?
Siasa za ulaghai jiwe kazikataa. Fanyeni za kistaarabu kama mlivyoelekezwa. Kama hamuwezi, suseni.
Katiba ya Tanzania haijaandika kama huu ujinga uliotuwekea hapa , nyie endeleeni kuisigina katiba ya nchi , malipo yenu yanakuja
Katiba haikumpa mamlaka ya kuivunja katibaRais ameshapewa mamlaka na hiyo katiba kufanya lolote atakalojisikia kufanya bila kushitakiwa. Hoja yako ni nini?
Mtu ambaye amepewa mamlaka na katiba ya kutoshitakiwa kwa kosa lolote, maanake yuko huru kutenda lolote.Katiba haikumpa mamlaka ya kuivunja katiba
kuna haja ya kuangalia historia ya mtu kwanza kabla ya kumpa uongoziMtu ambaye amepewa mamlaka na katiba ya kutoshitakiwa kwa kosa lolote, maanake yuko huru kutenda lolote.
Naona hoja imeanza kubadilika.kuna haja ya kuangalia historia ya mtu kwanza kabla ya kumpa uongozi
Viwanda vinajijenga vyenyewe as a product of huge production of raw materials.Hivi walivyokuwa wanahubiri kina Mwijage vilikuwa day dreams viwanda.Usiwaamini hawa watu,wasemacho siyo halisi ni propaganda tu.
Nchi ya viwanda watu wake wanakufa njaa?Watoto hawana madarasa,madawati,vifaa vya kujifunzia,waalimu bora nk.
We are among World Wonders!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Viwanda vinajijenga vyenyewe as a product of huge production of raw materials.Hivi walivyokuwa wanahubiri kina Mwijage vilikuwa day dreams viwanda.Usiwaamini hawa watu,wasemacho siyo halisi ni propaganda tu.
Nchi ya viwanda watu wake wanakufa njaa?Watoto hawana madarasa,madawati,vifaa vya kujifunzia,waalimu bora nk.
We are among World Wonders!!!
Sent using Jamii Forums mobile app