Unyonyaji wa Bodi ya Mikopo (Higher Education Student's Loan Board)

Inasikitisha sana bodi iliyopewa dhamana kuwezesha kupata elimu inavyobadilika na kuwa sehemu ya kuwanyonya watoto wa msikini.
Ukiangalia statement ya marejesho unatakiwa kulipa administration fee, penalty na value retention fee.

Inashangaza sana hayo makato ukifikiria mtu kamaliza chuo hajapata kazi miaka 3 hadi 4 lakini mkopo unaendelea kuliongezeka kila kukicha.

Leo nitazungumzia kimojawapo. Ukiangalia hiyo wanaita: Value Rention Fee (VRF) is a statutory charge to maintain the value of money throughout your repayment period. It is charged at 6% of the outstanding balance per annum. However it accrue daily at the rate of 0.0001643836 (that is 6% divided by 365) of the outstanding principal loan balance per day. SO it continues to accrues until you finish paying the outstanding principal loan.

Kwa hali hii mkopo huu hautalipwa na watu wengi watafanya juu na chini kukwepa kutolipa.

Ni aibu mkopo wa serikali unageuka kuwa chombo kumaliza na kukandamiza watoto wa maskini, sasa haina tofauti na mikopo ya biashara, wizi mtupu

Hakuna mtu asiyependa kulipa kama unadaiwa lakini mnapoweka mashari na vigezo ambayo haikuwepo wakati wa kuchukua mkopo inakuwa hatari sana. Serikali iache kutumia mabavu
Kuna wakati unajiuliza hii kweli ni serikali ya wanyonge?
Wanyonge ni kina nani?
 
Watumishi kasimamieni uchaguzi, nafasi zimetoka CCM inawapenda saaana.

Kuweni "Wazarendo"

View attachment 1579626

Ungeingia jeshini uku madogo wananza na 620k akiwa na mkopo wa chuo anakata mkopo wake tuu anabaki na 507k apo bado ajala leshi 300k yani madogo wanao anza kazi wanakula araund jiwe 8 ivi afu mwalimu mtu muhimu anakula jiwe 4 ila hii nchi miyeyusho any way kupanga kuchagua vumilia mzee ndo maisha kuna wenzaki hawana kazi kabisa hata iyo awaipati...
 
Sema unyonyaji wa serikali ya ccm na mgufuli sio loan board
Inasikitisha sana bodi iliyopewa dhamana kuwezesha kupata elimu inavyobadilika na kuwa sehemu ya kuwanyonya watoto wa msikini.
Ukiangalia statement ya marejesho unatakiwa kulipa administration fee, penalty na value retention fee.

Inashangaza sana hayo makato ukifikiria mtu kamaliza chuo hajapata kazi miaka 3 hadi 4 lakini mkopo unaendelea kuliongezeka kila kukicha.

Leo nitazungumzia kimojawapo. Ukiangalia hiyo wanaita: Value Rention Fee (VRF) is a statutory charge to maintain the value of money throughout your repayment period. It is charged at 6% of the outstanding balance per annum. However it accrue daily at the rate of 0.0001643836 (that is 6% divided by 365) of the outstanding principal loan balance per day. SO it continues to accrues until you finish paying the outstanding principal loan.

Kwa hali hii mkopo huu hautalipwa na watu wengi watafanya juu na chini kukwepa kutolipa.

Ni aibu mkopo wa serikali unageuka kuwa chombo kumaliza na kukandamiza watoto wa maskini, sasa haina tofauti na mikopo ya biashara, wizi mtupu

Hakuna mtu asiyependa kulipa kama unadaiwa lakini mnapoweka mashari na vigezo ambayo haikuwepo wakati wa kuchukua mkopo inakuwa hatari sana. Serikali iache kutumia mabavu
 
Hivi sweetheart, unaifahamu serikali ya zama hizi? Waziri anategeneza ka sheria uchwara wanapitisha na maamluki wake, kwisha kazi hata haiendi bungeni. Ukilalamika kusema hatukuwa na makubaliano hayo wanakuambia ilishatungiwa sheria mwaka XXXX.
Ukienda mahakamani utatoboa, hakimu mwenyewe anaambiwa mshahara wako unatoka na hayo makato?

Sasa kisheria na kwa hali ya kawaida kama kuna mabadiliko fulani ambayo yalifanyika baada ya mkataba kufanyika ni sawa kufuatwa?
Mie naona kilichopo kwenye mkataba ndio kinatakiwa kufuatwa
 
Jamani mimi sijui itakuwa imefika shingapi mana tangu 2013 nimemaliza chuo nimesugua kitaa hadi 2016 ndio nikapata kikazi kakupata ugali sasa sijui deni langu litakuwa kiasi gani
 
Mwaka wa pili huu nipo tu mtaani na mishe zangu. Sijaenda hata kucheck bei gani natakiwa kulipa. Na wala sina mpango wa kulipa maana naona wamegeuka wezi sasa.
 
Ungeingia jeshini uku madogo wananza na 620k akiwa na mkopo wa chuo anakata mkopo wake tuu anabaki na 507k apo bado ajala leshi 300k yani madogo wanao anza kazi wanakula araund jiwe 8 ivi afu mwalimu mtu muhimu anakula jiwe 4 ila hii nchi miyeyusho any way kupanga kuchagua vumilia mzee ndo maisha kuna wenzaki hawana kazi kabisa hata iyo awaipati...
Ndio serikali ya wanyonge hii mkuu
 
Hapo penalty inakuhusu, kuanzia 2015 ukijumlisha na retention fee ( riba ) ya kila mwaka, kitu ndio kama unavyoona hapo.

Na sasa kuna NIDA Deni halikwepeki labda usifanye kazi sekta rasmi.
Duh aisee ngachoka ajira zenyewe shida tupu, kwa makadilio inaweza kuwa kama shingap hivi mana loan bodi walikuwa wananipa 50% kwa iyo nyingine nilikuwa nalipa mwenyewe. Ila na pesa ya kula nafikiri ilikuw kama tunapewa kwa semista moja kama 450,000/ plus semista ya pili 450,000/ ila sina uhakika sasa inaweza kuwa kama shingap rafu kwa haraka haraka
 
Hapo jambo la msingi ni kuwafuata wakuangalizie au watumie email 😊😊.

Kwa makadirio, fanya jumla ya pesa waliyikupa mpaka unahitimu halafu kuna mwaka 1 wa grace period.

Baada ya hapo, deni linaongezeka kila mwaka ( retention fee ) ya 6% inaongezeka kwenye jumla ya deni ulilobaki nalo.
 
Hapo jambo la msingi ni kuwafuata wakuangalizie au watumie email .

Kwa makadirio, fanya jumla ya pesa waliyikupa mpaka unahitimu halafu kuna mwaka 1 wa grace period.

Baada ya hapo, deni linaongezeka kila mwaka ( retention fee ) ya 6% inaongezeka kwenye jumla ya deni ulilobaki nalo.
Kwa hapo mkuu sikumbuki vizur kwa mwaka 2013 ndio nilimaliza shahada sasa kwa kipindi kile sijui tulikuwa tunalipwa kwa mwaka mzima wa masomo kama laki tisa ila sina uhakika sasa ukijumlisha miaka 3, au kama unayo email yao msaada niwaulize ilo deni mana mmh sijui litafika kiasi gani
 
Back
Top Bottom