Kanyigoboy
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 529
- 1,316
Diamond asaiv ni kama wakina Mr nice na matonya zama zake zimepita
Leta list yako itayoikosoa hiyo mkuu sio maneno tuHii listi umeipata wapi jombaa mpaka watu wa billioni 2 unawaingiza..haya tuendelee Mwana FA,na Ay mwaka jana walilipwa Billioni 2 cash wakagawana moja moja na ukijumlisha assets walizokuwa nazo mwanzo tunaweza kusema kila mmoja anaweza kuwa na Billioni 1.5 kwa kukadiria..kwahyo tukiendelea na list tunakuja kuwakuta kwenye 20 bora ya wenye pesa Africa ikiwa mtu mwenye 2billioni kaingia kwenye top ten?..chukua data kutoka sites zinazoeleweka achana na blog uchwara hizo maana kwenye list yako siwaoni p square kwahyo unataka kutuambia hawapo top ten?..yuko wapi lira msanii wa kike tajiri kuliko wote Africa mwenyw Net worth ya Dolla Million 35? simuoni pia yule msanii wa Senegal Youssou N Dour aliyegombea uraisi..ukiachana na Akon yule ndiye msanii tajiri zaidi Africa anayefanya kazi zake ndani ya bara hili
Nilikua nataka kuchangia lakini hii comment imeshamaliza kila kitu...Hakunaga nyimbo mbaya kwa diamond,Kama hujaipenda leo utaipenda kesho.
Hatufuatilii maisha ya mtu sisi tunasikiliza mziki mzuri..UNO ndiyo habari ya Mujini na Vijinini!!!! Mimi siyo Shabiki wa mambo ya Muziki lakini kwa dharau la huyu Diamond na kukosa heshima kijamii kila siku kupanda wanawake na kuwatelekeza basi Konde Boy ndiye mwenye sifa zote kwa nidhamu na kazi nzuri, Na nina Imani kubwa sana kuwa Konde Boy atafika mbali mno kimziki na kimaisha na kwa mfano mwema katika jamii. Keep it up Konde Boy, the Harmonize
usipate tabu mkuu list za blog uchwara zinatofautiana wewe ingia Forbes ambacho ni chanzo cha kuaminika search mmoja mmoja hapo tena ongezea na Diamond platinumz,Youssou N dour,Lira na wengine utakaowaona halafu tengeneza list ya top ten mwenyewe usipende kucopy na kupasteLeta list yako itayoikosoa hiyo mkuu sio maneno tu
kwanza wengi wanaochangia si ma Artist ndo maana wanasema hayo lakini kwenye sanaa hakuna kitu original duniani labda kimejiumba hata mungu alituumba kwa mfano wakeKucopy ni dhambi, kama wasanii wamekubalianam
Hivi wewe mwehu unaijua bilioni 11 kweli au unaisikia, acheni kuwa mnaota ndoto za mchanaCha muhhimu ni kumiliki mkwanja kama wa chibu basi nyingine mbwembwe
Diamond kaja kawakuta wakina afande sele wanaisifia gari ya kuhongwa ya mil 8 leo hii ana zaidi ya billion 11
Wimbo huu wa diamond hata ma underground hawawezi kuutoa,
Kwanza ni wa majungu.
Pili ni una majigambo na taarabu
Tatu beat mbovu.
Nne hauna chemistry nzuri
Tano kaungaunga madudu yasiyoeleweka.
Hata kama jamaa namkubali ila huu wimbo ni HOVYO SANA.
Nikweli ila Leo asubuhi s2kizzy kasema hii ngoma nicopy chibu aliipenda na kuongea na mwenye nyimbo so wakakubaliana .. kilichofanywa nikubadilisha tu maneno tu.. kifupi unaweza kuitaa cover .. tuuSijachukia Sir mchambuzi!
Nimesikiliza hizo ngoma zinazolinganishwa melody nakucheka sana mdomo kila mmoja ana wake uko wazi wacha waseme mwishoni wata bang nayo club sanaa
Hii listi umeipata wapi jombaa mpaka watu wa billioni 2 unawaingiza..haya tuendelee Mwana FA,na Ay mwaka jana walilipwa Billioni 2 cash wakagawana moja moja na ukijumlisha assets walizokuwa nazo mwanzo tunaweza kusema kila mmoja anaweza kuwa na Billioni 1.5 kwa kukadiria..kwahyo tukiendelea na list tunakuja kuwakuta kwenye 20 bora ya wenye pesa Africa ikiwa mtu mwenye 2billioni kaingia kwenye top ten?..chukua data kutoka sites zinazoeleweka achana na blog uchwara hizo maana kwenye list yako siwaoni p square kwahyo unataka kutuambia hawapo top ten?..yuko wapi lira msanii wa kike tajiri kuliko wote Africa mwenyw Net worth ya Dolla Million 35? simuoni pia yule msanii wa Senegal Youssou N Dour aliyegombea uraisi..ukiachana na Akon yule ndiye msanii tajiri zaidi Africa anayefanya kazi zake ndani ya bara hili
Unaishi wapi mzee mbona ishu ipo wazi hii tigo walikata rufaa lakini Mwana Fa na Ay walishinda tena rufaa wakiwa na wakili wao Albert Msando hivyo wakalipwa 1.2 BillioniMwana FA na AY hawajalipwa sababu Tigo walienda kata rufaa
yani diamond na konde wanatuchezea akiri sana wanatengeneza image ya kuwa wao bro habari ya mjinga kiba kapotezwa huu mchezo wenye akiri tushauelewa kitamboo
we ni tahira