Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 166,015
- 184,753
Amen
Kucopy ni dhambi, kama wasanii wamekubalianamNadhani wewe ndio hujasikiliza Au tu ni fan sana wa WCB ila ni copy.
Hakunaga nyimbo mbaya kwa diamond,Kama hujaipenda leo utaipenda kesho.
UNO ndiyo habari ya Mujini na Vijinini!!!! Mimi siyo Shabiki wa mambo ya Muziki lakini kwa dharau la huyu Diamond na kukosa heshima kijamii kila siku kupanda wanawake na kuwatelekeza basi Konde Boy ndiye mwenye sifa zote kwa nidhamu na kazi nzuri, Na nina Imani kubwa sana kuwa Konde Boy atafika mbali mno kimziki na kimaisha na kwa mfano mwema katika jamii. Keep it up Konde Boy, the Harmonize
Endeleeni tu kumdanganya mmakonde wa watu.UNO ndiyo habari ya Mujini na Vijinini!!!! Mimi siyo Shabiki wa mambo ya Muziki lakini kwa dharau la huyu Diamond na kukosa heshima kijamii kila siku kupanda wanawake na kuwatelekeza basi Konde Boy ndiye mwenye sifa zote kwa nidhamu na kazi nzuri, Na nina Imani kubwa sana kuwa Konde Boy atafika mbali mno kimziki na kimaisha na kwa mfano mwema katika jamii. Keep it up Konde Boy, the Harmonize
Aaaaah wapi? Utumbo kwako kwa wengie point na wanauga mkono. Huyo Mondi wako na tabia zake mwisho wake tutauona. Na wasanii watamkimbia na kujitegemea tu. Na konde boy tutamsupport tu na mambo makubwa kwake yanakuja. Leta tusi linguine. Mama yangu na Baba yangu wote Marehemu ninawashukuru sana kwa kunilea kwa maadili na nidhamu. Hata unitukane kwa tusi kubwa kiasi gani usitegemee nikujibu vibaya. Poe sana kwa kuumizwa na post yangu iliyopita na hii ikikuumiza tena basi naongeza pole nyiiiingi sana.Umeongea utumbo
Sir sikiliza vizuri hizo ngoma kati ya Soapy na Baba lao ni ngoma mbili tofautii.
Tatizo letu ni kwamba wewe umesema inafanana na Soapy mimi nitabeba kama lilivyo nitapeleka nakokujua nitakao wapelekea kama nao ni mazuzu hawatasikiliza hizi ngoma watabeba na kuwalisha wengine pumba.
Sikiliza hizo ngoma

Endeleeni tu kumdanganya mmakonde wa watu.
Hapo hakuna kitu wote ni studio ndio zinawasaidia tuKwenye comment tuache story za kuponda au kusifia, wewe weka jina la mkali wako hapo kisha tutahesabu kura.
Unaandika mara moja tu kuliko kurudia rudia.
Kura yangu ni kwa: Harmonize - Uno