Uno (Harmonize) vs Baba lao (Diamond)

Nadhani wewe ndio hujasikiliza Au tu ni fan sana wa WCB ila ni copy.
Sir sikiliza vizuri hizo ngoma kati ya Soapy na Baba lao ni ngoma mbili tofautii.
Tatizo letu ni kwamba wewe umesema inafanana na Soapy mimi nitabeba kama lilivyo nitapeleka nakokujua nitakao wapelekea kama nao ni mazuzu hawatasikiliza hizi ngoma watabeba na kuwalisha wengine pumba.

Sikiliza hizo ngoma
 
Kwenye comment tuache story za kuponda au kusifia, wewe weka jina la mkali wako hapo kisha tutahesabu kura.

Unaandika mara moja tu kuliko kurudia rudia.

Kura yangu ni kwa: Harmonize - Uno
Bado atujapata mshindani wa Uno!
 
yani diamond na konde wanatuchezea akiri sana wanatengeneza image ya kuwa wao bro habari ya mjinga kiba kapotezwa huu mchezo wenye akiri tushauelewa kitamboo
 
Back
Top Bottom