University Admission Results 2020

Nimeshndwa kuelewa kama chuo kilimchagua na akaona notifications kwa profile taarfa zake ziko uploaded tcu, badaye majina yametoka kutoka tcu halipo,labda tcu wamemtema assumptions ziko nyng
Kila siku tunajifunza, Kwani baada ya chuo husika kurudisha jina TCU wanatoa majina mengine tena? Au sijaelewa?

pdf\ ya TCU ninaipataje kujiridhisha?
 
Nadhani, taarifa zinapelekwa vyuoni kwasababu vyuo hupeleka taarifa za wanafunzi TCU baada ya kuwa wamefanya registration.
Vyuo hudahili Wanafunzi na kutuma majina TCU, ndio maana wenye multiple selection hupewa code toka TCU. Baada ya kuthibitisha/ku confirm udahili kwa Wanafunzi, majina hutumwa HESLB toka TCU kwa allocation ya mkopo. Ukisoma details zaidi HESLB wanasema hata taasisi zingine zinazohusika na usajiri wa Wanafunzi huweza tuma majina HESLB.
 
Hivi hawa HELSB lini wanatoa orodha ya wanufaika
 
HESLB kesho mzigo unatema...hongera kwa wale wote mliochaguliwa.
IMG_20201110_175707_107.jpg
 
Back
Top Bottom