University Admission Results 2020

University Admission Results 2020

HESLB kwani hawatoi majina?
Mimi wameandika hivi,
Screenshot_20201111-211625~2.jpg
 
Wakuu hivi Hiyo hela ya field huwa inaingizwa kwenye chuo husika ama inakuaje kuaje na niwakat gan huwa inaingizwa
 
Wajameni nimechaguliwa udsm botanical science..niende diploma au nikakomae hivo hivo
 
Wakuu tatizo hili hapa..
Jamaa alapata 2nd round B.V.M(verternary medicine )- SUA

Akaomba tena akapata 3rd round M.D( Doctor of medicine) -UDSM MCHAS na kafanya confirmation tayari kwennda MD

SASA MKOPO UKO 100% LAKINI UMEWEKWA KWA BVM- SUA.. solution ni nini kwa anayeelewa?
 
Back
Top Bottom