Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,854
- 2,474
Utafanya watu wadondoke maana ukikosa round hii tena basiWakuu nawarusha Roho tusubiri kesho
Utafanya watu wadondoke maana ukikosa round hii tena basiWakuu nawarusha Roho tusubiri kesho
Utafanya watu wadondoke maana ukikosa round hii tena basi
nimeweka dawa za kupunguza presha pembeni mkuu utakuja kupata murder case

Najua Hili mnalopitia Mimi pia nililipitia ..
Ilaaa wameniandikia hv katika account yangu,round 3 ambayo wanatangaza trh10.Imeandika dear applicant,MNMA wishes to inform you that you have been provisionally selected for 3round admission cycle at the academy.however,there same technical challenges with our system that we are sorting out.names will be announced there after and upon verification by TCU.we highly appreciate for your patience.Kama Kuna mtu aliomba udsm atume screenshot ya kwnye my application pale, maana Kuna mtu kanambia ukikuta kwnye my application unaambiwa ureapply ujue ndo umekosa hata km selection bado, sasa sijui Ni kwel
Kama Target n MD kwanini asingeomba CM!?Hii coz ya MD ni kama Dhahabu.. Kuna dogo ana Div 2.12 PCB kaachwa round zote vyuo vya private..now ameomba Diploma Pharmacy kama backup
Duh yaani acha tu alikuwa hajui...uzuri nilimshauri tatizo hawa ndugu zetu ukiwaambia kitu hawaelewi... Mi nilimwambia asiombe MD kupata ishu hakunisikia...kuna dogo mwingine alisoma CBN ana div 2 round ya kwanza aliomba Nursing akapata..yeye kaomba MD round zote amekataliwa now round ya 3 ndo ameomba pharmacy degree na diploma... Ameshakata tamaaKama Target n MD kwanini asingeomba CM!?
a sio poaa ni pressure tuTar 10 kama tar 10
Tar 10 kama tar 10
Wale wa SUA 3rd round mambo yameivaSafi
Wale wa SUA 3rd round mambo yameiva
YaaahUmepata
Tayari nenda kwenye website yao washatoa pdf kwangu inagoma kudownloadVipi KCMC jamani tayari?
Nimeona... ahsanteTayari nenda kwenye website yao washatoa pdf kwangu inagoma kudownload
hongeraa sanaa ndugu yetu shombeYaaah
Thanks kiongozihongeraa sanaa ndugu yetu shombe
Hongera sana kijana, ni hatua nzuri zaidi.Yaaah