Capybara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 241
- 140
Hongera mkuu
Yaaah
Yaaah
hongera sana mkuu..Yaaah
Mkuu umepata Kozi ganThanks kiongozi
Tupe mrejeshoSawa mkuu... nitaleta mrejesho hapa hapa baada ya majibu.....
Mkuu kijana kwenye profile yake ya kcmc hakuna ujumbe wowote, ila nilivyoangalia list ya majina round 3 kwenye Official website lake halipo automatically hapo nahis kakosaTupe mrejesho
Yaaah
Amekosa huyo kama ktk jina lake halipoMkuu kijana kwenye profile yake ya kcmc hakuna ujumbe wowote, ila nilivyoangalia list ya majina round 3 kwenye Official website lake halipo automatically hapo nahis kakosa
Sana huwa ni TCU, kwani ndio inahusika na usajiri wa wanafunzi waliopata vyuo.ETI GUYS, MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO HUSIKA HUWA YANATUMWA BODI YA MIKOPO KWA AJILI YA UGAWAJI WA MIKOPO NA VYUO HUSIKA AU TCU..?
Mkuu kijana kwenye profile yake ya kcmc hakuna ujumbe wowote, ila nilivyoangalia list ya majina round 3 kwenye Official website lake halipo automatically hapo nahis kakosa
Nimeshndwa kuelewa kama chuo kilimchagua na akaona notifications kwa profile taarfa zake ziko uploaded tcu, badaye majina yametoka kutoka tcu halipo,labda tcu wamemtema assumptions ziko nyngDuuh!
Things fall apartAmekosa huyo kama ktk jina lake halipo
Nicheki PMMkuu kijana kwenye profile yake ya kcmc hakuna ujumbe wowote, ila nilivyoangalia list ya majina round 3 kwenye Official website lake halipo automatically hapo nahis kakosa
Sawa mkuuNicheki PM
Itakuwa TCU wamemtema na sidhani kama kutakuwa round nyingine hivyo aangalie option nyingnineNimeshndwa kuelewa kama chuo kilimchagua na akaona notifications kwa profile taarfa zake ziko uploaded tcu, badaye majina yametoka kutoka tcu halipo,labda tcu wamemtema assumptions ziko nyng
Mkuu kijana kwenye profile yake ya kcmc hakuna ujumbe wowote, ila nilivyoangalia list ya majina round 3 kwenye Official website lake halipo automatically hapo nahis kakosa
no way ngoja tutafute plan B,Itakuwa TCU wamemtema na sidhani kama kutakuwa round nyingine hivyo aangalie option nyingnine