University Admission Results 2020

University Admission Results 2020

Kaka acha masihara ukikosa ndo wanakwambia ivyo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sure.That's their language [emoji23][emoji23] ngoja tusubiri hiyo batch ya pili tu
 
Na ww mkuu wamekuandikia ivyo dah life is not fair kwa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Wakuu tatizo hili hapa..
Jamaa alapata 2nd round B.V.M(verternary medicine )- SUA

Akaomba tena akapata 3rd round M.D( Doctor of medicine) -UDSM MCHAS na kafanya confirmation tayari kwennda MD

SASA MKOPO UKO 100% LAKINI UMEWEKWA KWA BVM- SUA.. solution ni nini kwa anayeelewa?
AFIKE CHUO MKOPO UTAHAMISHWA
 
Na ww mkuu wamekuandikia ivyo dah life is not fair kwa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kuna jamaa yangu tumemaliza wote, tena yeye na O level pia kasoma private plus haendi kozi ya afya... Lakini wamempa! Sijui wanaangalia nini yani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]yaani mi najisemea wakimaliza kufanya analysis yao wananipa kumbe dah MUNGU ATUSIMAMIE KATIKA BATCH YA PILI maana ndoto za kwenda chuo zinakatakata
 
Ameen[emoji120][emoji120]
 
mimi wamenitema round zote 3, nilisoma clinical medicine nikaomba MD na Course zinginezo ila wapi
 
Back
Top Bottom