University Admission Results 2020

University Admission Results 2020

Wananguu vipi maisha ya chuo yanasemaje maana tulikuwa pamoja katika kuhangaikia selection... DIT tunapelekwa mpera mpera...
 
uku udsm maisha ni bata batani, unatoka pindi unaenda na baeb mlimani city ukitoka hapo unarudi tena pindi uku bab yupo pembeni, sijawai kula raha kama raha izi ninazokula tangu niingie dasilamu kutokea tukuyu mbeya, uku boom ndio kila kitu kwangu hapa mjini
 
Ngoj liishe tutatafutana

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
uku udsm maisha ni bata batani, unatoka pindi unaenda na baeb mlimani city ukitoka hapo unarudi tena pindi uku bab yupo pembeni, sijawai kula raha kama raha izi ninazokula tangu niingie dasilamu kutokea tukuyu mbeya, uku boom ndio kila kitu kwangu hapa mjini
Mkuu,

Kila la heri..

Laki 7 ni chache sana...kuna kipindi utadownload maji hadi ukome...utakula mihogo kama nguruwe...

Cjui kama utatamani kuonana na huyo bae yombo

Sasa hivi mnapiga mapicha picha pale library eeeh
 
Hahahahha eti kam nguruwe mkuu
 
Mkuu,

Kila la heri..

Laki 7 ni chache sana...kuna kipindi utadownload maji hadi ukome...utakula mihogo kama nguruwe...

Cjui kama utatamani kuonana na huyo bae yombo

Sasa hivi mnapiga mapicha picha pale library eeeh
Naomba atuletee mrejesho sasaivi hali yake ilivyo
 
Mkuu,

Kila la heri..

Laki 7 ni chache sana...kuna kipindi utadownload maji hadi ukome...utakula mihogo kama nguruwe...

Cjui kama utatamani kuonana na huyo bae yombo

Sasa hivi mnapiga mapicha picha pale library eeeh
 
uku udsm maisha ni bata batani, unatoka pindi unaenda na baeb mlimani city ukitoka hapo unarudi tena pindi uku bab yupo pembeni, sijawai kula raha kama raha izi ninazokula tangu niingie dasilamu kutokea tukuyu mbeya, uku boom ndio kila kitu kwangu hapa mjini
Vp maisha ya hapo udsm nahc mda huu utakuwa unaielewa sana mihogo... la cvyo uwe umepata mume
 
Duuuh, sasa hv maisha ni magumu huku vyuoni.. Boom la pili halijaingia hadi sasa dadeq
 
Back
Top Bottom