University Admission Results 2020

University Admission Results 2020

Kweli kjna, nimeona vijana wangu wachache wamechaguliwa extension.. Me sikuiweka kaka

Yan iyo coz n Kama general tu mkuu masomo mengi tunashare menilitaka kuchange nikaona Amna kitu kipya..
Mkuu usikate tamaa nilipata 3rd na loan 1 batch na SUA ext ndotulikuwa wa Kwanza kupewa mkopo.
 
Yan iyo coz n Kama general tu mkuu masomo mengi tunashare menilitaka kuchange nikaona Amna kitu kipya..
Mkuu usikate tamaa nilipata 3rd na loan 1 batch na SUA ext ndotulikuwa wa Kwanza kupewa mkopo.
Daaah.. Nitaweka tu aseeh..
Round Iliyopita niliweka kozi za kibabe tupu So naona kimya wakat matokeo tangu yapo conc tu
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Back
Top Bottom